1.Goli la Ibra, narudia kuwa sija discredit goli lake ila nasema, goli lilitokana na Keepers error zaidi rather than ufundi binafsi wa mchezaji. Najua wewe ni muangaliaj mpira mzuri lakini unavo yachambua magoli ujue kuna vitu kama
Individual error au skills
Team error au skill
Communication error au skills
Braza, unaweza kuandika kwa lugha nyingi uwezavyo ama kwa terms tofauti tofauti, lakini bado sijaona unachokikataa: kwamba, katika soka, goli ALWAYS utokana na kosa la mpinzani. Hivyo ndivyo ilivyo! Sasa kwa wewe kusema goli la Ibra lilitokana na kosa la kipa, sijui unataka kusema nini, ilhali hivyo ndivyo ilivyo katika soka. Goli ni LAZIMA litokane na kosa la mpinzani.
Nimekuuliza, nitajie GOLI MOJA TU katika historia ya soka ambalo halikutokana na kosa la mpinzani.
Kufunga goli kuta taka mfungaji awe na skills , kufungwa goli kuta taka mfungwaji afanye error. Sasa kuna time error % ina zidi skill % au vice versa, kazi kwako ni kuchambua kipi kili zidi kipi. ukitaka nitafute nikupe kitabu hiki usome.
'44 Secrets for Great Soccer Goal Scoring Skills' kimeandikwa na Mirsad Harsic. Huta pata tatizo la ku mpa credit mfungaji au mfungwaji wa goli.
Nimekuuliza, goli la ufundi na lisilo la ufundi lina-effect katika matokeo ya mechi? Hujajibu!
Sina muda wa kusoma vitabu vinavyohusu siri za ufungaji wa magoli! Gosh, kita-add values zipi katika maisha yangu kitabu kama hicho. I play football for fun, and not for an expectation of scoring great goals bruh!
2. Basti na Schneiderln, sija sema waanze au wacheze dakika zote tisini, kama uliona mchezo wa jana utajua wali hitajika wao kuliko Fellaini. So jana tu mechi ya stoke na Arsenal pia mtu kama Basti ali hitajika.
Mechi ngapi Basti kacheza na timu haikupata matokeo mazuri? Una uhakika gani angeingia kwenye hizo mechi matokeo yangekuwa tofauti?
Licha kukubaliana na umuhimu wa Bastian na Morgan, nisichokubaliana nawe ni tabia ya wewe kujifanya unafahamu timu kuliko José! Yes, yeye ni binadamu na anafanya makosa. Lakini kwa kuwa anakaa na kuwaona wachezaji wakifanya mazoezi mara kwa mara, kuliko wewe na mimi, yupo katika better position ya kuamua timu itakavyokuwa. Najua tuna hisia zetu kama washabiki, lakini zisitu-cloud mitazamo na mawazo yetu.
Nimekuuliza haya pia, hukujibu:
a. José amfanyaje ili Pogba a-fit? Kwa United ya sasa, ni mido gani huyo aliye na kasi ili u-slowness wake usiathiri timu? Ni combination ipi ya midfielders ambayo itamfanya Pogba a-fit?
b. Ulitaja madogo, nikakuuliza, ndiyo mpango wako wa kuwatumia katika combination na Pogba? Hukujibu!
3. Yeye ndio kocha, yeye ndio kiongozi, hivo lawama ata pewa yeye kuliko wachezaji, ahakikishaje morali ni jambo ambalo hata kocha wa level 1 hufundishwa, kuna kitu kinaitwa sports psychology mkuu ni moja ya foundation course za ukocha. Kwa nini Mou aliondoka Madrid next year Anceloti akaja kubeba UEFA? Kwa nini Mou aliiacha pabaya Chelsea lakini Conte na Hiddink walijitahidi!? Tena wakicheza na vikosi almost hivo hivo alivo viacha Morinho!? Tatizo Siyo teknik tuu, hata suala la saikolojia ya wachezj lina husika.
Kama Mou hajui afanye nini ili morali iongezeke bas ndio ana stahili kufukuzwa.
1. Sports psychology: naamini unajua kwamba kuna sport psychologist kwenye timu! Kila timu inaye mmoja (kwa timu za Ulaya haswa). Yeye ndiye anayemsaidia José katika psychological aspects za timu na wachezaji.
2. Mourinho: hiyo mifano ya makocha na timu walizohamia na kufanikiwa, inasahau kwamba United ilikuwa na kocha mmoja kwa miaka 26! Hivyo, ni dhahiri kwamba haitokuwa kazi rahisi kwa kocha atakayefuata kupata mafanikio haraka. Labda kufanyike overhaul ya system nzima; jambo ambalo kibiashara, wamilik hawawezi kukubali na naamini hata Mancunians walio washabiki wa United hawawezi kukubali, kwani SAF alijenga timu na kuifanya iwe sehemu ya utamaduni wa jiji la Manchester.
Kama nilivyosema siku moja, kosa kubwa lilikuwa ni kutompa muda Moyes. Lakini kwa sababu sasa hivi hakuna patience kama aliyoipata SAF, Moyes akatimuliwa na timu haijawa stable hadi leo. Sasa wewe unataka Mourinho afukuzwe!
3. Mourinho hajui afanyaje: ulisema moja ya mipango yako ya kuibadili United ni kumfukuza José. Nikakuuliza, nani atakuwa mbadala wake? Na nini kitakachotokea baadaye? Naongeza, na huyo kocha akiboronga, naye atimuliwe? Lini timu itakuwa na stability kama ndiyo staili unayoitaka?
4. José na morali za wachezaji: nimekuuliza José afanyaje ili morali iwepo? Wewe si unazo mbinu mbadala za kuisaidia timu, ebu toa somo kwa José. Pengine you could get hired as the team's psychologist!
5. Ukiweka hicho kitu kinacho itwa exceptional treatment bas ukifanye kwa exceptional player ambaye ni kweli some tyme single handedly ana ibeba timu, ila si Ibra na Pogba, they are just equal with other players kwa viwango wanavo onesha sasa, haina haja ya special treatment kwao. Part of being good coach is being fair kwa sasa pale man u ili kuwa fair lazima awa treat wote kama equals. Umesema kila timu lazima kuwa na superstar anaye treatiwa tofauti
Messi kwa Barca Yes
Ozil kwa Arsenl yes
Ronaldo kwa Madrid yes
Unataka kweli Pogba, the world most expensive player awe treated equally na Mensah? Kaka, mbona unapigana na ukuta? Kutakuwa na equal treatment ilhali kila mchezaji ana mkataba wake na timu wenye terms and conditions tofauti tofauti?
Ingawa bado sijaona na wala bado hujaonyesha ni kivipi José anawapendelea Ibra na Pogba, sioni kama kuna shida. Nilikuuliza kwamba, inaonekana unafahamu kwa undani kinachoendelea kwenye changing room, ebu tueleze hiyo unequal treatment imeleta athari zipi kwenye timu na uwanjani. Objectively, na siyo emotionally, please.
Man u hatuna hata mmoja wa aina hiyo tunajidanganya hapo. Na Mou ana fanya kosa la kuwaza kama wewe unavo waza.
Aisee! Yaani kwa akili zako kabisa, unaamini José anawaza kama mimi na kusema anafanya kosa?!? Samahani ndugu, how old are you?
5. Nakubali kuwa alikiwa majeruhi lakini alisha pona mechi 3 au 4 kabla ya jana, yet alikiwa hapangwi, nakubali kuwa at leat mechi mbili za mwisho kapangwa aendelee hivo hivo.
Narudia tena, José yupo katika nafasi nzuri zaidi yetu sisi mashabiki pale inapokuja katika maamuzi ya nani apangwe kwenye timu. Pamoja na kuwa anaweza kufanya makosa, lakini probability ya kufanya makosa ni ndogo mno kwake ukilinganisha na sisi mashabiki ambao tunataka kuamua nani apangwe wakati hata mazoezi ya timu hatuyaoni.
Wewe huwezi kunielewa kama unaingiza mitazamo yako ya ki personal, mfano mimi i have never seen a fan who think knows man utd in the sense of being arrogant as you! Uwa unajiskia kama wewe ndio shabiki bora hivi, unaijua timu vzuri unaujua utamaduni wa utd vizuri, wakat uko Tandale tu kama sisi wengine. Unajihisi ni shabiki mzuri mpaka unataka wengine tuwe kama wewe. Lakini sija wahi ingiza bias zangu kwenye comments zako, nyingine huwa nzuri tuu na huwa na kubali unapokuwa upo sahihi.
a. Sijakuelewa unavyosema mitazamo yangu ya ki-personal! Unamaanisha nini? Si ni obvious kwamba humu kila mtu anatoa personal opinions? Au wewe ndugu unatoa authoritative opinions ambazo zinapaswa kuambiwa hewala?
b. Being arrogant: Naona umeandika kwa hisia kweli ndugu. Kwamba najisikia mimi ndiyo shabiki bora; naijua timu na utamaduni wake vizuri wakati nipo Tandale kama wewe; na ninataka wengine wawe kama mimi. Did I hurt your feelings?!? I'm sorry bruh!
Narudia tena kukuuliza, kwani una miaka mingapi ndugu? Mimi kuonyesha mitazamo yangu na kutokukubaliana na hicho unachokisema, hakumaanishi kwamba mitazamo yangu ni bora kuliko yako! Ninaonyesha tu kwamba mimi binafsi sikubaliani na unachokisema. Ninaonyesha kwanini sikubaliani nacho na kukuuliza maswali. Sasa kama unaona kufanya hivyo nakuwa arrogant, hizo ni hisia zako tu kaka! Kama upo hapa ukitegemea utakachokisema hakitapingwa na mtu, basi upo katika wrong site bruh! Hii ni social forum, hivyo any grownup man expect to encounter differentiated opinions! Ni wewe tu kukubali hilo na kujaribu ku-counter mitazamo kwa kutoa mitazamo yako pia. Ikishindikana basi, unakubali kutokukubaliana.
Ukitaka kuwa ratianal pungiza kujiona wewe ndio kilanja wa mashabiki wa utd, sikiliza maoni ya kila mtu na usitake kila mtu awe kama wewe,
Again, hapa unaongea kwa kutumia hisia zaidi. Na siku zote ukiongozwa na hisia katika kufikiri, matokeo yake si mazuri.
Kusikiliza maoni ya kila mtu nafanya, ndiyo maana najibu. Lakini haimaanishi kwamba kusikiliza maoni ni sawa na kukubaliana nayo. Nina uwezo wa kuyapinga pale ninapokuwa sikubaliana nayo. Na kila mmoja humu anao huo uwezo. Sasa sijui ukilanja wangu upo wapi? Pengine huna moyo ya kupokea counter arguments! Kama ndivyo, hilo siyo kosa langu. Ukiandika chochote ambacho mimi binafsi sikubaliani nacho, nitakujibu, kukuuliza maswali na kutoa counter arguments. Nikitarajia nawe utafanya hivyo pia. Just bring it bruh! I'm ready!
halafu nakushauri soma majarida mbali.mbali ya soka, nenda hata you tube uangalie tekniks mbali mbali we mpira unajua ila kuna ki ji elim flan hivi unakikosa.
How old are you? I'm just curious! Kwa unachokiandika, nina shauku ya kujua umri wako. Sina muda wa kusoma hayo majarida na kuangalia youtube ili kujua techniques mbalimbali. I would rather watch cartoons with my sons or chill with my darling wife than doing that. So, thanks, but I will pass.
Am not bitter, natoa na data zangu, tungekuwa wa Pili kwenye ligi, data zingekiwa vizuri si ajabu ningekuwa namsifia hapa Kocha, lakini hali yetu si nzuri na haitii matumaini so lazima niseme.
Data zipi? Kama maswali yangu huyajibu kwa ukamilifu, data zipi unazoziongelea? Kwani nani kasema umsifie kocha? Tatizo ni kwamba, kama mshabiki you are always exoected to be positive with the team katika nyakati mbaya na nzuri. Na unapokosoa, kosoa constructively kwa kutoa mbadala. Jambo ambalo hujalifanya kiukamilifu zaidi ya kutumia hisia tu. We all want our team to get better. But, being bitter and angry at José won't help at all!
Na expect hatutaingiza mitazamo binafsi juu yetu ili mazungumzo yetu yawe na maelewano.
Mitazamo binafsi haiwezi kuepukika ndugu. Una options mbili: kutoa counter arguments au kukubaliana kutokukubaliana.