Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndoto za Manchester United za kutwaa makombe matatu msimu huu zimeanza kuyeyuka taratibu baada ya leo hii kuondoshwa rasmi kwenye michuano ya kombe la chama cha soka nchini Uingereza (FA Cup) na mahasimu wao wakuu Manchester City katika mechi ya nusu fainali...............

Manchester City 1-0 Manchester United
 
Manchester-City-v-Manchester-United-FA-Cup-Pa_2586532.jpg


Chacha wakuu ni huyu aliyeharibu mpira au Wine Romney kwa kufungiwa?
Au hamjui mbinu walizotumia Mancs
 
Bala, kesho tujiandae kikweli kweli kule jukwaani kwetu.
Watakuja full force hawa kumshangilia Andy Carrol, ha ha ha!

Waje tu chichi Emirates tutatoa dozi tu Wojciech Szczesny karudi na TV anachukua mazoezi ana wiki sasa, Song is back as well .... ...
 
Bala, kesho tujiandae kikweli kweli kule jukwaani kwetu.
Watakuja full force hawa kumshangilia Andy Carrol, ha ha ha!
Hahaha kesho mnashinda Liverpool watafanya chochote ili tusichukue number 19, ila all jokes aside 19th title sounds better kuliko ata champs league kama ni mshabiki wa kweli wa man utd utajua kwa nini nasema hivi, a'fu ukizingatia kuwa King Kenny aka The Messiah karudi kuwafundisha mahasimu wetu utamu unazidi.
 
Moja lishaondoka kati ya 3 mliyokuwa nayo, no wonder mkatoka bila MLISI. UEFA nako naona nafasi yenu ni 5%. Inabakia Premiership nako lazima muifunge Chelsea na Arsenal kujihakikishia kikombe.

Bado kazi ngumu, Record ya 1999 under Cole na Yorke hamuwezi kuifikia tena.

Leo mji kimyaaaaa - safi sana CITY naona leo mlikuwa mnawageuza kama samaki - teh teh teh
 
Bala, kesho tujiandae kikweli kweli kule jukwaani kwetu.
Watakuja full force hawa kumshangilia Andy Carrol, ha ha ha!

Liver hawachomoki kesho mkuu..........Naomba tushinde tu maana tukishindwa tu hakutalalika......Kuna jamaa najua wanaanza kupiga kambi pale kwetu leo.....

Sema nina wasiwasi na Carol(Andy)..........Anatuotea(ga) sana yule
 
Manchester-City-v-Manchester-United-FA-Cup-Ma_2586530.jpg



And so do their supporters.

Tetesi zinasema Manure hawajafungwa kwenye hiki kikombe
na watani wao takriban miaka 80 khe khe kheeeeeeeeeeeeee
1926, wakafungwa na Bolton kwenye final.
 
Kichapo cha leo toka kwa man city chastahili mpewe pole.
poleni sana wanazi wa man utd.
 
Balatanda, Unaongelea Liver hii au ipi? Arsenal hatoki.

Liver wanapiga Traditional 4-4-2. Katikati mkamate Fabgas unamaliza game. Mziki wa watoto haukeshagi mwanangu!!!
 
Wape polesana na zile ndoto za kubeba vikombe 3 zinaanza kutoweka taratibu! Na uefa kwa shalke04 wana kazikubwasana nahisi kama na hapo wataenda namaji,watabaki wanapambana na watoto wa wenger ktk ligi kuu ya uingereza.
 
Na wataondolewa pia na schalke04 ktk uefa watabaki wanatoana roho na arsenal ktk ligikuu hapo labda watapambana mpk mwisho waligi ndio apatikane bingwa.
 
A wink of disaster




Baada kula mkong'oto Rio hakuridhika ... ... ... ..


Balotelli 'n Rio in pitch bust-up



01_BALOSPLASHMAIN__1293485a.jpg


WEMBLEY WAR ... Roberto Mancini tries to act as peacemaker
as Rio Ferdinand lunges at Mario Balotelli




MARIO BALOTELLI sparked a furious Wembley bust-up with Rio Ferdinand. The Manchester City hothead goaded Ferdinand on the pitch after City's 1-0 FA Cup semi-final win. The Italian hitman winked at Ferdinand before continuing his celebrations just feet from his rival. Balotelli had to be dragged away by boss Roberto Mancini as Ferdinand lost his rag and tried to confront the striker. Ferdinand managed to grab Balotelli by the back of his shirt before taking issue with Mancini himself and City first-team coach David Platt. Rio jabbed his finger into Platt's neck after the former England international also got involved by grabbing hold of United midfielder Anderson after he shoved Balotelli. Mancini refused to discuss in detail what happened. He said: "I want to wait because, every time, 'It's Balotelli's fault'."

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee jamaa kamkonyeza tu imekuwa nongwa khe khe kheeeeeeeeeee
 




















Poleni wakuu leo hamkutoka, mmezidi kubebwa, siku msiyobebwa chali!

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee bahasha hazikufanya kazi leo!

Hujalala leo kwa furaha ya Man City kushinda ingekuwa arsenal ndo wameshinda nadhani ungekesha wiki 2
 
Liver hawachomoki kesho mkuu..........Naomba tushinde tu maana tukishindwa tu hakutalalika......Kuna jamaa najua wanaanza kupiga kambi pale kwetu leo.....

Sema nina wasiwasi na Carol(Andy)..........Anatuotea(ga) sana yule

Hayatuhusu sisi mkaongelee kwenu, we are (Man U) the title contender and you ( Arsenal and Liva ) you are the top 4 cotenders
 
Back
Top Bottom