mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
sijui nitoe hongera au Pole au vyote? pokea unaloona unastahili wewe na wapenzi wenzio wa MAN U!!
i receive all of them with two hands
sijui nitoe hongera au Pole au vyote? pokea unaloona unastahili wewe na wapenzi wenzio wa MAN U!!
Wakuu mbona mmeleta fujo London Baloteli anapigwa hapa na wachezaji wa Manure khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee ni Rio Ferdinand huyu anataka kupigana khe khe khe kufungwa kubaya khe khe kheeeee
kakojoe ulale
Mkuu Wacha1, sasa weka picha mfululizo hapa mpaka paeleweke! Tukio baada ya tukio hii itawasaidia kuwa update kina Eqlypz, na Belinda ambao hatukujumuika nao leo.
Mkuu nilikuwa na engagement ya kifamilia ndio kwanza nimerudi nyumbani.... Kwa kweli performance niliyoiona kuanzia dakika ya 81 imenitia kichefuchefu.Mkuu Wacha1, sasa weka picha mfululizo hapa mpaka paeleweke! Tukio baada ya tukio hii itawasaidia kuwa update kina Eqlypz, na Belinda ambao hatukujumuika nao leo.
Waungwana nimeangalia mechi kuanzia dakika ya 80 it was a very disgusting performance from man utd, congratulations kwa city... Ngoja niangalie highlights kwanza... Kama tukiendelea kucheza namna hii we don't deserve anything that includes champs league na epl.

Poleni Manure, naona mmepewa kichapo na noisy neighbour leo hamtalala hapo town.
Waungwana nimeangalia mechi kuanzia dakika ya 80 it was a very disgusting performance from man utd, congratulations kwa city... Ngoja niangalie highlights kwanza... Kama tukiendelea kucheza namna hii we don't deserve anything that includes champs league na epl.
Tumecheza 4-5-1?count out the number of tough game we have played in the prevous 2 weeks. so lazima wachezaji wachoke tu
count out the number of tough game we have played in the prevous 2 weeks. so lazima wachezaji wachoke tu
timu si imesajili wachezaji 30 ,,sasa mambo ya kuchoka yanatoka wapi? weka wapya ambao hawajacheza hizo mnaita gemu ngumu
hatuna visingizio kama nyinyicount out the number of tough game we have played in the prevous 2 weeks. so lazima wachezaji wachoke tu