1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,201
- 14,382
Man utd gari lishawaka 🔥
Ah 😂😂😂
Halafu palace ashinde 😂😂Astonvilla awabonde leo, ili hii international Break tupate agenda
View attachment 3706533
Palace hawezi kushinda mbele ya liverkukuHalafu palace ashinde 😂😂
Forest jana kafanyaje 😀😀, hatutapoa mpaka nyumbu zishike mkiaPalace hawezi kushinda mbele ya liverkuku
Mpe Aston villa goal mbili weka mke na watotoOver 2.5 wazee nipate hela ya balimi