mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Kichapo cha leo toka kwa man city chastahili mpewe pole.
poleni sana wanazi wa man utd.
tell us ur interest
Kichapo cha leo toka kwa man city chastahili mpewe pole.
poleni sana wanazi wa man utd.
Hayatuhusu sisi mkaongelee kwenu, we are (Man U) the title contender and you ( Arsenal and Liva ) you are the top 4 cotenderstell us ur interest
man united we are the best
Thats why all eyez on us
Hayatuhusu sisi mkaongelee kwenu, we are (Man U) the title contender and you ( Arsenal and Liva ) you are the top 4 cotenders
Mfarisayo....
Wape vidonge vyao kaka...usiwaache.
Punguza Munkari kaka, vp matumaini ya treble bado yapo?Afu MBU, WACHA1, BBK,and CO punguzeni mi posts yenu kwa majirani zenu..ntaongea na Mod awaban...mnashadadia yetu inhal yenu yamewashinda....nyambafu.
Afu MBU, WACHA1, BBK,and CO punguzeni mi posts yenu kwa majirani zenu..ntaongea na Mod awaban...mnashadadia yetu inhal yenu yamewashinda....nyambafu.
Ebanae mkuu haya maumivu kwangu yataisha tutakapochukua number 19.Poleni wakuu kwa kuchapwa na wapinzani wenu wa jadi.
Mkuu manda , mfarisayo, BJ,Eqlypz ndio ukubwa huo. SIna mengi kwa vile sijaona game sitaweza kuwashambulia kwa hoja lol.
Poleni wakuu kwa kuchapwa na wapinzani wenu wa jadi.
Mkuu manda , mfarisayo, BJ,Eqlypz ndio ukubwa huo. SIna mengi kwa vile sijaona game sitaweza kuwashambulia kwa hoja lol.
Thanx AW, du! mana nilikuwa down kweli jumamosi baada ya mechi!!!...
Unakumbuka 07-08 tulifungwa na Portsmouth kwenye FA Cup lakini tukashinda double. In all honesty kati ya UCL na EPL, mimi nataka EPL sana. Tunatakiwa tushinde mechi mbili zilizobaki kabla ya kukutana na arsenal ili tuchukulie ubingwa kwa alafu Chelsea watupe guard of honor watakapokuja old trafford.Hi BJ....
Hii itatupa muda wa kukonsentreti UCL na EPL....:nerd: