Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester-City-v-Manchester-United-Antonio-V_2586452.jpg
 
Wacha uongo wewe umeuona mchezo wote khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mkuu, kuwa na heshima tafadhali hujui nini kilichonifanya nikamiss dakika za mwanzo. So tafadhali sana.
Uwa simiss game zetu wala kukimbia jukwaa.
 
Manchester-City-v-Manchester-United-Man-City-_2586453.jpg

Man City fans are desperate to reach next month's final as they bid
to end their long wait for a trophy.

Manchester-City-v-Manchester-United-Noel-Gall_2586456.jpg

Celebrity City fan Noel Gallagher watches from a box at Wembley.

Manchester-City-v-Manchester-United-FA-Cup-Ya_2586525.jpg

Yaya Toure celebrates after putting Man City into the lead in the second half.
 
Wakuu tupeane pole tuko pamoja...........pamoja na kupoteza another treble kwenye hii season bado tunayo mengine mkononi

Ngoja nijipooze kidogo kwa kucheko Almeria na Valencia wakati tunangoja El-Classico

Never give up.....Glory, Glory Man Utd
 
...4-4-2... Hair-raiser best formation mpaka Babu Scholey alipotuonyesha Kung-fu fighting!
Speaking of fighting ngoja nimuangalie Amir Khan nikisubiria highlights....! Siamini tumewapa Citeh kikombe duh!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu, kuwa na heshima tafadhali hujui nini kilichonifanya nikamiss dakika za mwanzo. So tafadhali sana.
Uwa simiss game zetu wala kukimbia jukwaa.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee ndio mambo ya soka hayo wengine huita kabumbu khe khe kheeeeeeeeeeeeeee kufungwa kubaya ati chacha bado tutegemee treble khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu nilikuwa na engagement ya kifamilia ndio kwanza nimerudi nyumbani.... Kwa kweli performance niliyoiona kuanzia dakika ya 81 imenitia kichefuchefu.

Pole na majukumu bana, labda hukujua babu Scholey alikuwa keshapigwa Red dakika hizo.
 
EQLYPZz!!!

pole kaka,[/COLOR]
Hayo ya CL na EPL yaachie yataji sort out yenyewe bana,

Ugulia la leo kwanza!

nisamehewe naomba,but nilikuwa nafikiri ni mwanamke....good to know he is a man!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Manchester-City-v-Manchester-United-FA-Cup-Ya_2586528.jpg

His team-mates go crazy... safari ya kurudi Manchester imeanza khe khe kheeeeeee
 
Wakuu tupeane pole tuko pamoja...........pamoja na kupoteza another treble kwenye hii season bado tunayo mengine mkononi

Ngoja nijipooze kidogo kwa kucheko Almeria na Valencia wakati tunangoja El-Classico

Never give up.....Glory, Glory Man Utd

tupo pamoja mkuu
 
Manchester-City-v-Manchester-United-Man-City-_2586453.jpg

Man City fans are desperate to reach next month's final as they bid
to end their long wait for a trophy.

Manchester-City-v-Manchester-United-Noel-Gall_2586456.jpg

Celebrity City fan Noel Gallagher watches from a box at Wembley.

Manchester-City-v-Manchester-United-FA-Cup-Ya_2586525.jpg

Yaya Toure celebrates after putting Man City into the lead in the second half.

....wafunike kamanda, wafunike!

Kichapo cha leo kinawauma acha tu!...
haya sasa, na hawa walikuwa wanahesabu makombe matatu,...yamebakia mawili.... countdown!....
 
Manchester-City-v-Manchester-United-FA-Cup-Ma_2586530.jpg

And so do their supporters.

Tetesi zinasema Manure hawajafungwa kwenye hiki kikombe
na watani wao takriban miaka 80 khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
nisamehewe naomba,but nilikuwa nafikiri ni mwanamke....good to know he is a man!

ha ha ha, unapakaza pili pili kwa kidonda?
mnh,...thx God Kamanda Eqlypz ni Gentleman.
Atakuelewa tu.
 
khekhekhekkehheeekhhehehehh![/B]....tupe kwanza kikombe bana,
mbona unakuwa hivyo?

Mlishapewa viwili (2) tena kama sijasahau mligawiwa na Fabio na cha pili mlipewa na Rooney
 
....wafunike kamanda, wafunike!

Kichapo cha leo kinawauma acha tu!...
haya sasa, na hawa walikuwa wanahesabu makombe matatu,...yamebakia mawili.... countdown!....
Mkuu to be fair walioanza kuzungumzia treble ni wahandishi wa habari na pundits wa kwenye TV na mashabiki walio deluded lakini level headed fans walikuwa kimya kwenye hili.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom