Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester-City-v-Manchester-United-FA-Cup-Ma_2586533.jpg


A bunch of losers
khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Speaking of fighting ngoja nimuangalie Amir Khan nikisubiria highlights....! Siamini tumewapa Citeh kikombe duh!!

Yap, mwenyewe namsubiria hapa, ila mpaka atapodundana na "Money Man" Mayweather Jr. ndio nitampa Big Up ya ukweli.
 
Wakuu tupeane pole tuko pamoja...........pamoja na kupoteza another treble kwenye hii season bado tunayo mengine mkononi

Ngoja nijipooze kidogo kwa kucheko Almeria na Valencia wakati tunangoja El-Classico

Never give up.....Glory, Glory Man Utd




Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Bado nawatafuta Manda, Belo pamoja na Ngongo khe khe kheeeeeeeeee
 
Pole na majukumu bana, labda hukujua babu Scholey alikuwa keshapigwa Red dakika hizo.
Hehehe Scholes kweli kadata duh....inasemekana ndio mechi yake ya mwisho maana mpaka sasa hajarenew contract.. alafu naona Fabregas amemsifia kabla ya mechi.

Yap, mwenyewe namsubiria hapa, ila mpaka atapodundana na "Money Man" Mayweather Jr. ndio nitampa Big Up ya ukweli.
Huyu Khan mshabiki wa Citeh, jana alikuwa kwenye tv anaongea sana hehe.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
m10_12_682x400_1293450a.jpg


OK YA ... Manchester City midfielder Yaya Toure slips the ball past Edwin van der Sar

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee walikimbia wakisubiri
kama dakika za majeruhi watabebwa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
F7D3B6BAB6E34249A2698CAAE585F525.ashx


Hargreaves' future undecided

Owen Hargreaves is unlikely to play again this season. What's more, Sir Alex Ferguson admits a decision needs to be made over the midfielder's future.
The 30-year-old has had terrible problems with injuries since joining United and is out of contract in the summer.
The boss revealed on Friday morning that talks have taken place between the midfielder and Reds chief executive David Gill over the player's future. Hargreaves has managed just one brief appearance this season; he started in the 2-1 victory against Wolves in November but lasted only a few minutes before pulling up with a hamstring injury.
"I don't see Hargreaves playing this season," conceded Sir Alex. "He's got this shoulder injury which I think has put his season to an end.
"He's carried bad luck all the time he's been here. David Gill had a discussion with the boy last week. His contract is up at the end of the season - we have to make a decision."
 
Hehehe Scholes kweli kadata duh....inasemekana ndio mechi yake ya mwisho maana mpaka sasa hajarenew contract.. alafu naona Fabregas amemsifia kabla ya mechi.


Huyu Khan mshabiki wa Citeh, jana alikuwa kwenye tv anaongea sana hehe.

...ha ha ha, Scholey na kadi zake kumi nyekundu! Ginger head! Lakini pamoja na yote hayo, jamaa ni down to earth kichizi.
Bout ya Ameir Khan wanaonyesha Channel gani bana? kwenye Tv listing yangu ya freeview sioni kitu!


Bado Shalke 04. ..

...ha ha, sio Schalke pekee, na RAUL!
 
Sitaki kulijadili hili but si kwasababu nyingine ila hilo jina....ni kama navyoamini Belinda ni mdada....!

mnh, kwa zile lips BelindaJacob naamini ni binti, tena mrembo.
Anyway, akishamaliza haya 'matanga' atakuja tuambia mwenyewe hapa.
 
...ha ha ha, Scholey na kadi zake kumi nyekundu! Ginger head! Lakini pamoja na yote hayo, jamaa ni down to earth kichizi.
Bout ya Ameir Khan wanaonyesha Channel gani bana? kwenye Tv listing yangu ya freeview sioni kitu!


...ha ha, sio Schalke pekee, na RAUL!
Primetime...na kama una Sky na Virgin on Demand ngoja nikutafutie link.
Utazipata hapa http://www.myp2p.eu/broadcast.php?matchid=113392&part=sports
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
article-1377555-0BA861E200000578-150_634x416.jpg


Tinachubiri interview ya Furngie khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Alamba alamba tena aaaaaaaaaam aaaaaaam..............Alamba alamba tena aaaaaaaaaam aaaaaaaaaaam

Na bado?.........Countdown imeanza hiyo..........Subirini dozi nyingine toka kwa Raul Gonzalez Blanco......

Eti oooooooh mwaka huu treble ndo mwake.............Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mlishapewa viwili (2) tena kama sijasahau mligawiwa na Fabio na cha pili mlipewa na Rooney

avatar32273_3.gif
...acha roho ya korosho bana, I mean hicho kikombe cha Loliondo bana. Nipe namba nikutumia "jero" yako kwa M-Pesa,... LOL!
 
_52205436_011777815-1.jpg

The sucker punch .. .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


_52205581_011777965-2.jpg


khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


_52205784_011778137-1.jpg


Mshike mshike khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom