tameer
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 773
- 1,461
Yeah kweli,kipindi cha pili mou alitakiwa kufanya sub mapema!tayari kati palianza kuelemewa kutokana na mipira yote ikifika kwa pogba au zlatan inapotea,carrick na herrera wakawa wameanza kuzidiwa,mata alitakiwa mapema akaongeze nguvu!Sub za Leo sijazielewa kabisa....... yaani Mimi hasa kipindi cha pili kimeniumiza sana tukawaacha Everton watuchezeshe wanavyotaka,kukawa no connection Ni kutibua tibua tu mpira ,mpira haushuki zaidi ni kujilinda tu,kabla ya sub angalau Hata kaukuta kalikuwa kanaeleweka after sub tukawapa mwanya zaidi ingawaje na sisi tulishambulia dakika fulani lakini kukawa hakuna connection kabisa.
Na dalili zilianza kuonekana mapema ila mou alipuuzia