José killed the game...
Mh! Kumfukuza Mourinho kutasaidia kweli ndugu? Au ndiyo unataka timu iwe ya kutimuatimua tu? Let's have him and judge him at the end of the season bruh!Unaweza kuwa ni mapema mno kusema! Lakini Mou have to go, ameharibu timu kabisa, mbinu zake za kizee za kulinda goli na sub ya Fellaini mcheza foul mkubwa zimetukosesha ushindi. Sitaki Mou, aende zake.
Unaweza kuwa ni mapema mno kusema! Lakini Mou have to go, ameharibu timu kabisa, mbinu zake za kizee za kulinda goli na sub ya Fellaini mcheza foul mkubwa zimetukosesha ushindi. Sitaki Mou, aende zake.
Mh! Kumfukuza Mourinho kutasaidia kweli ndugu? Au ndiyo unataka timu iwe ya kutimuatimua tu? Let's have him and judge him at the end of the season bruh!
Kwa alichofanya Fellaini, ni vigumu kumtetea tena..