Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Safi sana vijana
Asee nimeangalia ile game ilibidi wapigwe 4-0, leo ilikiwa disaster any way its good wa focus na ligiArsenane wamekojolewa viwili
Usiwachukulie poa hao S'mpton. Liverpool anaweza asitoke hapo tena kwa tabia ya Klopp kuwaweka vijana kwenye hili kombe.Natabiri fainali EFL ni Man u na Liverpool
Usiwachukulie poa hao S'mpton. Liverpool anaweza asitoke hapo tena kwa tabia ya Klopp kuwaweka vijana kwenye hili kombe.
Usiwachukulie poa hao S'mpton. Liverpool anaweza asitoke hapo tena kwa tabia ya Klopp kuwaweka vijana kwenye hili kombe.
Safi tu. Umepotea sana aisee.Mkuu habari yako

kwa takwimu hizi yule mcheza rafu hamkuti el capitano steve GSasa unabisha Au....
Tatizo lenu Nyie Women United Mnashindwa Kutofautisha Performance Ya Timu na Ya Mtu Mmoja...
Inapokuja Kesi Ya Schols na SG munakimbilia Mafanikio Ya Timu...
Ni Kweli Schols Ametwaa PL na SG hakutwaa! Lakini Hayo Ni Mafanikio Ya Timu na Wala Si Ya Mtu Mmoja...
Kwa Kesi Ya Mtu Mmoja Schools Hamna Kitu Mbele SG...
Hebu Taja Kikubwa Alichokifanya Schools Kama Yeye na Sio Timu ambacho Kamzidi Steven Gerrard:
SG in 2005:
*Gerrard was honoured as the UEFA Club Footballer of the Year.
*Won the Ballon d'Or Bronze Award (3rd Place).
1) RONALDINHO
2) FRANK LAMPARD
3) SG
*Named UEFA Team of the Year and FIFA World XI three times.
SG in 2006:
*Named PFA Players' Player of the Year.
SG in 2009:
*FWA Footballer of the Year A Record in Premier League 8 times..
→Katika Historia Ya Uengereza SG ndiye Mchezaji Pekee Aliyeweka Rekodi Ya Kufunga goli FA Cup Final , League Cup Final, UEFA Cup Final na UEFA Champions League Final na Timu ikachukua Kombe Kwa Kila Final Aliyofunga.
→Total Apps for PL: 504
→ Total Goals for PL: 120
Kwahapo Scholes Wenu Atasubiri sana tu...
Sasa Wewe Lete Hapa Kilichobora Cha Scholes Alichomzidi SG hapa..
NOTE:
HATULINGANISHI MAFANIKIO YA TIMU HAPA!!!! TUNAZUNGUMZIA SCHOLES NA SG ONLY..
Pogba aendelee kukaa benchPongez kwa ushindi lia weekend mambo utakuta bado yanakuwa yaleyale