respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
Mou kampumzisha Mpemba, Nafurahi Mikit kaanza, Carrick nadani ya fimba, Romero hajawahi kuniangusha...
Acha kazi ianze, nasikitika naikosa mechi hii
Payet kwa herrera Ali divePOGBA ALIDIVE KAMA UMEONA REPLAYS JAMAA ALISTAHILI KADI
maeneo aliyotaka Free kick ilikuwa nje ya Box na kosa la KUDIVE na KUCHEAT sasa hivi ni CARD YA NJANO
mou kama mimi na wewe hakuona tukio vizuri akapanic....
hakuna campaign....kwenye Touchline kama vile uki over react negatively UNA KULA UMEME (RED CARD)
by the Way pole mkuu
KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEE.......!!!!!!!!
Mkuu habari yakoUshindi muhimu leo
Scholes sio mtu wa media kama SG wenu ndio maana hakufanikiwa kwa mambo ya awards zinazochagizwa na media. Lakini uliza viungo wote bora tangu 1993-2011 watakwambia nani kati ya hawa ni bora. Awards ni tofauti na performance,unakumbuka 2010 ballon d'or imeenda kwa nani wakati performance ya uwanjani 100% ilikuwa kwa iniesta? Usibabaishwe na awards,angalia mpira Ngwaba.Sasa unabisha Au....
Tatizo lenu Nyie Women United Mnashindwa Kutofautisha Performance Ya Timu na Ya Mtu Mmoja...
Inapokuja Kesi Ya Schols na SG munakimbilia Mafanikio Ya Timu...
Ni Kweli Schols Ametwaa PL na SG hakutwaa! Lakini Hayo Ni Mafanikio Ya Timu na Wala Si Ya Mtu Mmoja...
Kwa Kesi Ya Mtu Mmoja Schools Hamna Kitu Mbele SG...
Hebu Taja Kikubwa Alichokifanya Schools Kama Yeye na Sio Timu ambacho Kamzidi Steven Gerrard:
SG in 2005:
*Gerrard was honoured as the UEFA Club Footballer of the Year.
*Won the Ballon d'Or Bronze Award (3rd Place).
1) RONALDINHO
2) FRANK LAMPARD
3) SG
*Named UEFA Team of the Year and FIFA World XI three times.
SG in 2006:
*Named PFA Players' Player of the Year.
SG in 2009:
*FWA Footballer of the Year A Record in Premier League 8 times..
→Katika Historia Ya Uengereza SG ndiye Mchezaji Pekee Aliyeweka Rekodi Ya Kufunga goli FA Cup Final , League Cup Final, UEFA Cup Final na UEFA Champions League Final na Timu ikachukua Kombe Kwa Kila Final Aliyofunga.
→Total Apps for PL: 504
→ Total Goals for PL: 120
Kwahapo Scholes Wenu Atasubiri sana tu...
Sasa Wewe Lete Hapa Kilichobora Cha Scholes Alichomzidi SG hapa..
NOTE:
HATULINGANISHI MAFANIKIO YA TIMU HAPA!!!! TUNAZUNGUMZIA SCHOLES NA SG ONLY..