Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Una Blind moja kati ya mabeki bora wa pembeni wenye kujua kupiga krosi zenye macho, unamng'ang'ania Darmian.

Nimeanza kukosa imani na mbinu za Mourinho.

Ubingwa tushakosa hata nafasi ya Uefa tunaelekea kuikosa.
Chelsea, Liverpool, Man city, Arsenal na Tottenham. Halafu bado mnataka kucheza UEFA?

OK, tuambieni mnataka kucheza badala ya nani kati ya hizo timu nilizotaja.
 
Campaign against Mourinho inaendelea

POGBA ALIDIVE KAMA UMEONA REPLAYS JAMAA ALISTAHILI KADI

maeneo aliyotaka Free kick ilikuwa nje ya Box na kosa la KUDIVE na KUCHEAT sasa hivi ni CARD YA NJANO

mou kama mimi na wewe hakuona tukio vizuri akapanic....

hakuna campaign....kwenye Touchline kama vile uki over react negatively UNA KULA UMEME (RED CARD)

by the Way pole mkuu

KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEE.......!!!!!!!!
 
nipo kigoma huku mwisho wa reli" naangalia game manure wanaongoza kashampga westham 2 kwa moja ............. david beckam kapiga bonge la free kick.
 
POGBA ALIDIVE KAMA UMEONA REPLAYS JAMAA ALISTAHILI KADI

maeneo aliyotaka Free kick ilikuwa nje ya Box na kosa la KUDIVE na KUCHEAT sasa hivi ni CARD YA NJANO

mou kama mimi na wewe hakuona tukio vizuri akapanic....

hakuna campaign....kwenye Touchline kama vile uki over react negatively UNA KULA UMEME (RED CARD)

by the Way pole mkuu

KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEE.......!!!!!!!!
Kuna game 5 so far msimu ambazo maamuzi yametolewa against United na hizo game zote United hajashinda

1.Game against Man City
2.Game against Watford
3.Game against Burnley
4.Game against Chelsea
5.Game against Arsenal na hii Valencia alidive ?
 
kaka hizo scapegoats refa anaweza ona incident ya penalt kuna Too soft akatoa au hasitoe

mfano leo game ya arsenal Bornamouth beki wake wameunawa Two times na Nacho mara moja ambazo ni clear penalty

refa kafunika......hajatoa akatoa penalti "TATA" ambayo Nacho alikuwa ame control mpira na CF hakuwa na uwezo wa kumfikia

Dembele alipewa penalti "LAINI SANA" game dhidi ya Arsenal pale Emirates...all in all haitokei kwenu tuu

nachoweza kubaliana na wewe MOU yuko too emotional kwenye Touchline hasa mambo yakiwa yanaenda KOMBO, msimu wake mbaya wa Chelsea alikutana sana na MARUNGU YA FA hapo mbona bado

mkianza kushinda mou hatogombana na FA ....

my take: Mou nae apunguze mshawasha pale kwenye Touchline na kusema marefa kwenye post games interviews
 
Hizo incident nilizoweka hapa zote ziko clear na ndio ambazo timu imepoteza point nyingi kama maamuzi yangekuwa sawa United isingepoteza hizo point.United imefungwa sana enzi za SAF,Moyes,LVG but hakukuwa na series ya matukio kama haya yanayotokea mfululizo
 
POGBA ALIDIVE KAMA UMEONA REPLAYS JAMAA ALISTAHILI KADI

maeneo aliyotaka Free kick ilikuwa nje ya Box na kosa la KUDIVE na KUCHEAT sasa hivi ni CARD YA NJANO

mou kama mimi na wewe hakuona tukio vizuri akapanic....

hakuna campaign....kwenye Touchline kama vile uki over react negatively UNA KULA UMEME (RED CARD)

by the Way pole mkuu

KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEE.......!!!!!!!!
Mou ameanza kumvundisha uhuni wa kujiangusha ili kum-fool mwamuzi. Hii ni moja ya mbinu anaitumia sana Mou anapofundisha mieleka na rugby. Nimeona pia amekuja na mbinu ya kutumia mipira ya juu na pasi refu, carpet football imeshampiga chenga.
Sir Alex amemwambia hataki kuona Mou ana-park basi lake Old Trafford.
 
Hizo incident nilizoweka hapa zote ziko clear na ndio ambazo timu imepoteza point nyingi kama maamuzi yangekuwa sawa United isingepoteza hizo point.United imefungwa sana enzi za SAF,Moyes,LVG but hakukuwa na series ya matukio kama haya yanayotokea mfululizo
Najua kwakua droo kwenu ndo ushindi ndomaana mnalalamika sana cheza mpira unaoonekana haya yote hayatatokea mbona wanaoongoza ligi hatisiikii kama yenu ?
 
Hii timu hata isajili MSN au BBC au PHD bado mambo yatakuwa vululuvalala tatizo wamesajili majina na wengine wamepitwa na wakati..
 
Back
Top Bottom