Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Paul Scholes has claimed Manchester United hold a mental edge over their neighbours City and that their FA Cup opponents' big spending has only spurred United to want to beat them more. (Mhhhh! ....9 minutes to go)
 
Wakuu jitokezeni mpira bado dakika 20 na ushee khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Winger ya kushoto Man Citeh bomu kabisa, ndio nani vile? Silva?
LOL...

5 (five) Tano tu....minutes to Go!
 
...Wenyeji wametususia jamvi! hii ni halali kweli? aaah....
Sikutegemea Manure nao wana vijitabia kama vya Chelsea wakifungwa.

Bado watakuja tu kuna dakika kama 20 za majeruhi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Vierra, oooooo, Vierra, ooooo, Vierra, ooooo!!!! ha ha ha....

wakuu wa jukwaa hili mbona kimya?
 
...Wenyeji wametususia jamvi! hii ni halali kweli? aaah....
Sikutegemea Manure nao wana vijitabia kama vya Chelsea wakifungwa.

hahahahahah LOL! nadhani wako jirani...Hawa wana kawaida ya kujificha na kuwa wachunguliaji tu wakishafanya vitu vyao ndio wanaibuka toka mafichoni. Wakiadhirika basi huwa wanasepa kimya kimya LOL! BJ & Co where are you guys!? we miss you!!!
 
Bado watakuja tu kuna dakika kama 20 za majeruhi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

GalleryAlanLowe1-8977.jpg

thubutuuu, leo kabigwa ban asisogelee hata kamstari!
 
Hawa MANU dkk za lala salama huwa ni hatari mno. Huwa wanacheza kwa kujituma utadhani wamepata kikombe cha Babu.
 
hahahahahah LOL! nadhani wako jirani...Hawa wana kawaida ya kujificha na kuwa wachunguliaji tu wakishafanya vitu vyao ndio wanaibuka toka mafichoni. Wakiadhirika basi huwa wanasepa kimya kimya LOL! BJ & Co where are you guys!? we miss you!!!

umefurahiiii leo
 
Inaumaaaaaa.....asante sana Xuls na Kariki kwa kuuza mechi.
Nkalale mie,ila sina uhakika kama usingizi utakuja leo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

duuuuuuhhhhh 5 minutes extra time? ha ha ha...haya rudisheni basi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inaumaaaaaa.....asante sana Xuls na Kariki kwa kuuza mechi.
Nkalale mie,ila sina uhakika kama usingizi utakuja leo.

Mkuu mbona umekuwa mpole sana khe khe khe khee khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • Thanks
Reactions: Mbu
Wakuu vipi mpira bado khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kuna dakika 10 za nyongeza
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
HEHEHEHEHEHEHEHEHEE....E bana weeeeee! hamna kitu inauma kama kufungwa na mpinzani wako wa jadi!
hii ni sawa na kuwa Raped kabisa bana, ha ha ha ahahaaaahhhhahhhahhhahhahahah!!!!!

RIO FERDINAND acha kujitia David Hayes wewe!!! Balotelli atakuua huyo!
 
Wakuu mbona mmeleta fujo London Baloteli anapigwa hapa Ooops na wachezaji wa Manure khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee ni Rio Ferdinand huyu anataka kupigana khe khe khe kufungwa kubaya khe khe kheeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom