Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

:angry: ni kweli Papizo....naona Park kafanya kweli,ndo maana nilikuwa nataka avunjwe,nilijua atafunga goli leo.....:angry::angry:

Kabisa yaani...naona ulimuombea ila kakupa zawadi haha
 
ndo raha ya MAN bwana,within seconds mambo yanakuwa shwari.....kazi kwetu washabiki wa Arsenal.....l.o.l

For sure, Manure wanafurahisha sana!!..Tatizo Arsenal wanafurahisha mechi moja halafu wakifululiza huzuni ni mpaka mnachanganyikiwa na AW wenu!!..ila ndio kandanda mamii!!..Good to see you here Michelle!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
FernandoTorres_2584871.jpg

Mzee wa nuksi
 
Huyo Park wenzake ata kabla hawajamaliza kushabikia akawanyamazisha hehehe...
 
For sure, Manure wanafurahisha sana!!..Tatizo Arsenal wanafurahisha mechi moja halafu wakifululiza huzuni ni mpaka mnachanganyikiwa na AW wenu!!..ila ndio kandanda mamii!!..Good to see you here Michelle!!

Acha tu,na mimi nishakuwa kama Torres,timu nayoipenda haichukui kombe na niki divert kusapoti nyngine nayo inafungwa....kazi kweli kweli...

Good to see you too Belinda....siku nyingi kidogo,hopefully you are good!
 
Back
Top Bottom