Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea naona wameshakubali matokeo....:bored::bored::bored:

Hawajitumi kabisa na sasa ngwe yao imekuwa ngumu mno maana wanahitaji at least magoli mawili ili kusonga mbele.
 
Naona leo mmeokota tende baghdad red card ramirez khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW nasikia mmewafunga 10 man Chelsich baada ya kutoa mpunga wa kutosha khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ramires.....Chelsea wameumia kwa kutoka huyo kijana.......!!kazi kweli kweli....!:disapointed:
 
Hahahahahahah sio nuksi bali najaribu kuufanya Usheikh Yahya LOL! Nikiuweza na mimi nasema nimeoteshwa ndotoni naanza kuwachuna Wabongo! Buku 10 tu nakutabiria kila kitu chako na mpaka magonjwa yanayokujia huko siku za usoni....Ukitaka yasikupate ongeza buku nyingine 10 ili BAK ayaondoe hahahahaha LOL! habari za siku tele? BAK mzima kabisa.

mmh sheikh mimi nakuogopa..fingers crossed matokeo yabaki yalivyo🙂) itabidi niongeze mwekundu ili ubadili matokeo na utabiri,lol
Nipo BAK,salama kabisa..vizuri kusikia nawe u mzima wa afya..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom