Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama ulikuwa hujui umuhimu wa Fellaini leo ndio utaujua. Ogopa sana mchezaji anaokoa mipira ya kona golini kwake na anakamata pale katikati na wakati huo huo yuko kule mbele anawania magoli.

mchambuz
 
Jamaa yupo online( social Media) halafu anataka tumwamini hasomagi magazeti. Kesho kutwa yeye na Ramsey watasema hawaendi saluni kutengeneza nywele zao. Wachezaji wa siku hizi bana.
Wewe nawe sijui unaongea nini?! Kuwa online lazima usome gazeti? Ngoja nikwambie kuhusu mimi,siku man utd ikifungwa kijinga kama na watford huwa sisomi any sports news, na fyi ni kawaida sana wachezaji wanaoandamwa ku snub magazeti.
 
Usiwe kama unatoka kwetu Sengerema..Hujui Watu wengi wanapata news, gossips through social media than conventional source. Na still yanayosemwa magazeti yanakwenda hadi social media. Hao waandishi, pundits wote wapo social media na wana follow and followed hawa wachezaji.
Yeye kasema hasomi magazeti...sasa wewe unajifanya unamfahamu zaidi. Are you his personal assistant or what?!? Unasema watu wengi, kwani katika hao watu wengi lazima Pogba awemo? Kwani pundits wote ni wa newspapers? Wengine si wa TV na Radio stations?

Still, kutumia social media hakuhusiani na kusoma magazeti hata kidogo....kusoma magazeti kupitia social media (Twitter, Facebook na Instagram) si lazima uwe una-follow newspapers? Sasa kama Pogba ha-follow any of them?
 
IMG_1474734162.657456.jpg
 
Jamaa yupo online( social Media) halafu anataka tumwamini hasomagi magazeti. Kesho kutwa yeye na Ramsey watasema hawaendi saluni kutengeneza nywele zao. Wachezaji wa siku hizi bana.

Mkuu ujaelewa hapo. Sio kwamba hasomi,anasoma lakini hayamumizi kichwa.
 
Nilisema kama Mourinho hatamuweka Rooney na Fellaini bench atapata shida sana, naona kaona tatizo liko wapi.
Kama ulikuwa hujui umuhimu wa Fellaini leo ndio utaujua. Ogopa sana mchezaji anaokoa mipira ya kona golini kwake na anakamata pale katikati na wakati huo huo yuko kule mbele anawania magoli.
Naona sasa utakuwa umeelewa nilichokisema. Wengine huwa hatutizami mpira ili tuje kushangilia tu huwa tuna-analyse game.
 
Back
Top Bottom