rooney hajaanza mkuuLeo tunaua mtu..nimependa hiki kikosi.
Viungo=Carrick, Fellaini, Pogba
Forward=Ibra,Rooney,Rashford
Nilisema kama Mourinho hatamuweka Rooney na Fellaini bench atapata shida sana, naona kaona tatizo liko wapi.View attachment 406092kikosi cha leo
Nilisema kama Mourinho hatamuweka Rooney na Fellaini bench atapata shida sana, naona kaona tatizo liko wapi.
Kama ulikuwa hujui umuhimu wa Fellaini leo ndio utaujua. Ogopa sana mchezaji anaokoa mipira ya kona golini kwake na anakamata pale katikati na wakati huo huo yuko kule mbele anawania magoli.Nilisema kama Mourinho hatamuweka Rooney na Fellaini bench atapata shida sana, naona kaona tatizo liko wapi.
Naona point yako hapa...coz kwenye hiki kikosi sioni yule mtu wa kukata umeme pale kati i think Angemuanzisha Carrick instead ya lingard halafu Pogba apande juu the pembeni Mata.Kama ulikuwa hujui umuhimu wa Fellaini leo ndio utaujua. Ogopa sana mchezaji anaokoa mipira ya kona golini kwake na anakamata pale katikati na wakati huo huo yuko kule mbele anawania magoli.
Watu hawamuongelei Lingard ila dogo ndio muhangaikaji wa game nilikuwa nikijiuliza why hapangwi labda kama alikuwa kaumia. mbele ndio tofauti leo kama hawajawashambulia Leicester mapema Man U wataumizwa.4-3-2-1 ndiyo formation...Mata anacheza 10..Anders 6 na Pogba 8...ngoja tuone itakavyokuwa. Lakini I'm very optimistic na kikosi haswa nikimuona Anders na Mata ndani..