HAO WANAFUFUKA TIMU IKISHINDA R.I.P LIVERFOOL
yani leo napita kifua mbele mtaani huku nikipiga mluzi kwa mbaaaaali nawaona einsteins wakinikimbia and i aint say nothing.... nimependa sana mechi ya leo... naona wasaga sumu siwaoni humu
Yaani leo full shangwe, wametusema sana na leo Pogba kawanyamazisha..
Hatuwaoni humu leo!
Mkuu umemjibu vizuri na kiungwanaYeye kasema hasomi magazeti...sasa wewe unajifanya unamfahamu zaidi. Are you his personal assistant or what?!? Unasema watu wengi, kwani katika hao watu wengi lazima Pogba awemo? Kwani pundits wote ni wa newspapers? Wengine si wa TV na Radio stations?
Still, kutumia social media hakuhusiani na kusoma magazeti hata kidogo....kusoma magazeti kupitia social media (Twitter, Facebook na Instagram) si lazima uwe una-follow newspapers? Sasa kama Pogba ha-follow any of them?
Haters kwa sasa wako kimyaNakawa man of the mach
wewe tutakugonga nyingi ukae kimyaR.I.P wakati Tumetupia 5 ?? Dunia gani Unayoishi wewe?
Kante this season
6 Games
0 Goals
0 Assists
0 haircuts
0 Dabs
10 goals conceded. Useless.
KIMENIKA HUKO CHELSEA WANATAKA PAUND YAO 35![]()
![]()
![]()
![]()
wanyooshe