Musianze Kujishauwa! Lesta Kwa Msimu Huu Sio Timu Ya Kujipima Ubora Wenu! Nyie Endeleeni Tu Kujipa False Hope Dhidi Ya Pogba na Kumpa Promo Kama Man of the Match! Still Haitowezekana Kuficha weakness Yake hata Kama leo Katupia Kamoja Lakini bado Utupiaji Wa Mechi Moja Hauwezi Kujudge Performance Yake Kuwa imeboreka Ukilinganisha Na Mechi Nyingi Alizoharibu (Poor Performance).[/QUOTE
poor performance????? mechi nying mechi ngapi ni mechi 50?? acha wivu mkuu "wewe unataka atupie magoli mangap??? lini Pogba amekuwa mtupiaji wa magoli mengi au kwa kuwa anacheza man u msimu huu povu aliwaishi....Pogba ni mchezaji wa man u Pesa wametoa man u or umewakopesha pesa mkuu...ebu tuacheni kidogo na Pogba wetu....ni man of the match wetu...na wew kampe ballotel wenu uone kama tutakuja jukwa lako kupiga zogo.....