Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Kagoli kamoja tu!?????
Kagoli kamoja tu!?????
labda kocha aharibu tenaEe Mungu hizi goli ziongezeke mara 2.
Leo hapa hamna msibaa.Hii game ni droo subirin muone nilishaongea na babu hapa
Labda draw za kabatiHii game ni droo subirin muone nilishaongea na babu hapa
Ndiyo ameanza hivyo.....mana alikuwa 0, sasa 1....namba zitaendelea mbele.Kagoli kamoja tu!?????
Nimeamini.jana nilikuambia lazma tuchinje mtu
Yaje jamani.......yaje tu.magoli mengine yapo hapa
Sidhani kama ni wajuaji, it's soccer bwana, watu wanatoa stress.Kuna wajuaji wanachekesha sana! Thread imevamiwa siku hizi. Page zinakwenda tu kumbe pumba za voyeurs!
ha ha ha leo inabd ugawe zawadi kwakoYaje jamani.......yaje tu.
lile likapten lisahau kuhusu kupata nambaHerrera na Matta wapo vizuri. Sikujua kama Matta anawezakuzungusha 10 vizuri. Namuonea huruma captan wetu. Maana kama hawa wawili wataendelea kucheza vizuri, itakuwa vigumu kwake kupata nafasi.
Hahahahahaha mie chichemi.ha ha ha leo inabd ugawe zawadi kwako