Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Nafikiri hujaangalia mpira zama za akina Lee Bowyer, Kevin Davies, Robbie Savage.
Hao walikuwa ni zaidi ya wakorofi na kadi ilikuwa jambo la kawaida.
Nimewaangalia sana hawa khasa Lee Bowyer akiwa Leeds United na mwenzake Alan Smith na Paulo di Canio akiwa West Ham.
Kevin Davies akiwa Bolton Wanderers na Robbie Savage Leicester.
Halafu umemsahau Joey Barton.
Savage sasa anajitahidi kutengeza nywele tu za mtarazo kila show ya TV .
Lol.