Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu kilochoniuma ni kwamba ile ni mecho ambayo nilikua nna uhakika 2000% tunashinda. ..
Ila cna hamu hata usingiz cpati
Mnatakiwa mjifunze kuutazama mpila katika swala la kupata tija sio kimiemko mou ni mzuri mpeni muda ila kama hatabadirika mtaumia mno na sizani kama atabadilika angalia clip zake zote tangu alipotoka kama mfumo wake unachange, na hicho ndicho kinampa shida sababu ukishazoeleka inakua hauna madhara au ushawahi kuona wapi mbwa anambwekea alie mzoea
 
Mkuu kilochoniuma ni kwamba ile ni mecho ambayo nilikua nna uhakika 2000% tunashinda. ..
Ila cna hamu hata usingiz cpati
we lazima utakua unaangalia mechi za manure tu wewe! hungalii na game zingine" kwa watford uwe na uhakika asilimia 2000% kwa timu yako mbovu hiyo kiungo Pogba! ...........
 
we lazima utakua unaangalia mechi za manure tu wewe! hungalii na game zingine" kwa watford uwe na uhakika asilimia 2000% kwa timu yako mbovu hiyo kiungo Pogba! ...........
Mbona unatonesha vidondamwache atajifunza ataelewa let him talk ndio anvyojifunza
 
Mkuu kilochoniuma ni kwamba ile ni mecho ambayo nilikua nna uhakika 2000% tunashinda. ..
Ila cna hamu hata usingiz cpati
Afadhali wewe hupati usingizi, RRONDO yeye kampa kisago house maid wake mpya.

everlenk yeye kamkumbushia shemeji yetu kesi ya mchepuko miaka saba iliyopita.

Nikueleze ya sister ati kamnyima shem haki yake
 
Everlenk iko wapi?
Nilikusihi usimwamini sheikh yahya wako, mpira unachezwa uwanjani na sio kwa watabiri.
Alikuhakikishia ushindi.
Umeyaona sasa, nenda ukadai maburungutu yako kwa sheikh yahya.
Nilisahau mwaya, poreni kwa kipigo, hongeleni kwa kuwazawadia timu mkia wa mbuzi points 3. Kutoa ni moyo.
 
Nazungumzia Fellaini wa msimu huu sio huko nyuma,Hii gemu sio ya kumlaumu Fellaini.Since Mourinho kaja Fellaini ndio kiungo anayecheza vizuri


Fellaini anaweza akawa anacheza vizuri BUT siyo aina ya Mchezaji mnayemuhitaji kwenye Kiungo, na ndiyo maana your midfield is still weak.

Pogba ni talented player (to be honest, though ni over-priced). Ujio wake ulikuwa hyped sana na medias (English medias), but i can admit kuwa jamaa anapata unfair treatment kwasasa, siyo kosa lake kucheza kwa kiwango cha chini, Pogba ni Retainer/Carrier, Pogba siyo Controller (siyo kabisa) ukitaka Pogba ashine mtafutie CONTROLLER na DESTROYER mzuri, wakat wa Conte alikuwa na 3 man midfield ya Vidal (destroyer), Pirlo (Controller) na Pogba (Carrier/retainer)..na hata baadae baada ya Vidal kuondoka then Pirlo kufatia, Pogba alibaki na Watu kama Khedira na Marchisio ambao walikuwa wanaplay the same roles kama za Vidal na Pirlo, Pogba akibakia kuwa kama CARRIER, katika ile ile 3-man midfield.

Kwenye Euro, Pogba alicheza chini ya kiwango kwasababu alikuwa anachezewa kama Controller, kitu ambacho sikudhania kama experienced coach kama JM atakirudia Utd..but inaonekana ndiyo anachokifanya sasa, Pogba hawezi kuthrive kwenye double Pivot, JM itabidi aachane na mfumo wa 4-2-3-1 kama anataka Pogba acheze mpira, Pivot ya Pogba-Fellaini will never work, Pogba ataendelea kucover Kms tu uwanjani bila kuwa na Impact, na kumchezesha katika hiyo double pivot ni kuua kipaji chake na kuicheleweshea Utd ushindi. Pogba ana Fellaini/Rooney kwenye kiungo, Fellaini is not good enough and Rooney is washed, (No disrespect to him). Its not too late lakini, January JM/united itabid warudi sokoni kutafuta CM, Nadhani William Carvalho atafaa sana kwenye 3-man midfield ambapo Pogba atacheza kama 3rd midfield (Retainer/carrier)..

For the meantime anaweza akamjaribu Carrick kama Controller (he's a good passer na Controller mzuri pia), but sidhan kama JM na baadhi ya Utd fans bado wanamuamini Carrick but ni good option (you may need him Vs Leicester)..double pivot of Pogba-Fellaini wont work against Leicester, unless Ibra/Rashford/Mata and Pogba himself, wa-step up. (OT ni advantage).


ROONEY, is on 300k p/w. Not that easy to drop him.
 
Mpaka muda huu sijaaamin kama hawa madogo wametupa mishindo mitatu heavy. . nahic kama nimerogwa leo. . ila ipo siku na sisi kiliochetu kitaisha
Mkusanyike na mfanye maombi ya nguvu ili jirani yenu, Man. City naye aanze kukwaa visiki. Au mtashindwa kupata amani mtaani.
 
Fellaini anaweza akawa anacheza vizuri BUT siyo aina ya Mchezaji mnayemuhitaji kwenye Kiungo, na ndiyo maana your midfield is still weak.
.....For the meantime (JM, domokaya) anaweza akamjaribu Carrick kama Controller (he's a good passer na Controller mzuri pia), but sidhan kama JM na baadhi ya Utd fans bado wanamuamini Carrick but ni good option (you may need him Vs Leicester)..double pivot of Pogba-Fellaini wont work against Leicester, unless Ibra/Rashford/Mata and Pogba himself, wakistep up. (OT ni advantage).
ROONEY, is on 300k p/w. Not that easy to drop him.
Giggs anakatika mbavu, anakenua, anacheka bila kufurahi kwa matokeo haya ya karibuni.

Mapato ya jezi yameongezeka.
 
*Next 4 games*
Man U vs Leicester
Man U vs Stoke
Liverpool vs Man U
Chelsea vs Man U*aliepanga hii fixture SHETANI ANAMUONA*
 
*Next 4 games*
Man U vs Leicester
Man U vs Stoke
Liverpool vs Man U
Chelsea vs Man U*aliepanga hii fixture SHETANI ANAMUONA*
Inategemeana na jinsi watakavyo-perform Manu, wakishinda hizi gemu au wakichukua point nyingi, itakuwa ni a big psychological advantage to them, na vice versa is correct!!
 
*Next 4 games*
Man U vs Leicester
Man U vs Stoke
Liverpool vs Man U
Chelsea vs Man U*aliepanga hii fixture SHETANI ANAMUONA*
mkuu baadA ya hzo mechi ngumu man U atakuwA anakulA batA kwa madogo mpaka ubingwA
 
XROONEY.jpg
 
Back
Top Bottom