Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba, Ibra, shwansteger, rooney, degea, mata, wachezaji wakali duniani bado mnakalia kwa watford, na mwakani hamlambi UEFA
 
Kuanzia namba 6 hadi 11 wote ni slow players
Pogba yuko slow
So is Felaini, Rooney, Marshal, Ibrahimovic na Rushford
Ni vigumu kucheza pressing game kama mbele wote mko slow
 
rooney na felain hawa ndo wachezaj wangu wa hovyo japo mnamsifia falain bado hana ubora wa kupiga pas za uhakika kama bastian na carick hapo mou ndo anaposhindwa physical game kwa sasa haina nafas mata kacheza dakika chache kapata 6/10 felain 5/10 rooney 3/10 hapo speed unaitoa wap herrera lazima awepo.
 
Paul.jpg

We can see how Jealous people are swallowing their words, Ibrahimovic
 
always old is gold huwez kumkwepa carick na bastian hawa wanaamua uelekeo wa timu hasa ukiwa una mtu mzur kama pogba juu yao
 
View attachment 402667

We can see how Jealous people are swallowing their words, Ibrahimovic

muda utaongea ngoja atafutiwe mafundi wenzie lazima waingie sokoni tena huwez kumbebesha pogba lawama kwa kila mchezaji kuwa chini ya kiwango rooney mbona hamumzungumzii yeye jukumu lake ni lipi uwanjani? manchester united sio pogba ni wachezaji wote 23.
 
Pogba, Ibra, shwansteger, rooney, degea, mata, wachezaji wakali duniani bado mnakalia kwa watford, na mwakani hamlambi UEFA

eufa unaweza kwenda na ukaishia kuwa mshirik nakumbuka hata madrid alihangaika sana kurud kwenye sehemu aliyopo sasa bila kutumia pesa leo madrid ingekuwa story kama ac milan ni kipind cha manchester kutumia pesa
 
muda utaongea ngoja atafutiwe mafundi wenzie lazima waingie sokoni tena huwez kumbebesha pogba lawama kwa kila mchezaji kuwa chini ya kiwango rooney mbona hamumzungumzii yeye jukumu lake ni lipi uwanjani? manchester united sio pogba ni wachezaji wote 23.

Post ya Zlatan haijamzungumzia Rooney besides Rooney has proved himself over the years lakini huyu $115M hata hajapiga danadana 200 bila kudondosha mpira afu mnampa kichwa. Rooney yupo katika end of his playing career inategemewa kupoteza ukali ni Mourinho anayempa nafasi wakati inaonyesha hastahili. Lakini excuse ya Pogba ni nini?
 
zlatam kawalenga nyie pogba ana umr wa miaka 23 na kacheza game 6 tu anaweza asitufae kwa sasa ila baadae akawa mtu muhimu sasa kama mnajua rooney yupo mwisho wa career yake ndo aharibu asilaumiwe
 
Namshauri Mourinho should take breather ya 1 year, ili ajipange upya
 
Usaili mliofanya Man U haumaanishi mtapata mabadiliko ya haraka haraka.

1. Tambueni kuwa Jose Mourinho ni Boss mpya, na yeye atahitaji kuwa na style ya soka analopenda yeye pale OT.
2. Katika Timu huwa kuna kitu tunaita Mgongo wa Timu, na Mgongo wa timu unajumuishwa na Namba 1, 5, 6, 8 na 9. Man U haina namba 5 ya kueleweka, 6 hakuna na 8 bado haijasimama.
Jose Mourinho sio mjinga na kusema kwamba hatambui Pogba ni mtu anaepaswa kukaa sehemu gani. Endeleeni kwanza kuangalia ni nini kitatokea siku za hapo mbele.

3. Kazi ya Mourrinho sasa ni kuifanya Man U irudi ndani ya mioyo ya mashabiki na kurudisha hali ya ushindi na kurudi Top 4. Man U haina kipaumbele cha kubeba kombe, na hata Maboss wanajua hili kuwa timu ipo ktk hali mbaya na ni ngumu na ndo maana imefanya usaili wa pesa nyingi ili kuirudisha timu ktk hadhi, sasa huwezi ndani ya mwaka mmoja ujenge timu yenye ushindani, imani irudi kwa mashabiki n.k

3. Poleni sana Wapendwa, Mungu awatie nguvu.
 
Mi nafikiri umefika wakati kwa Mourinho kuanza kufikiria upya nafasi ya Wazza ndani ya Starting XI ya Man Utd, Wazza amepoteza ubora wake maradufu.

Pia afanye uamuzi sahihi wa Kiungo wa kucheza kando ya Pogba, mengineyo bado nina imani na Kocha na muda wa kurekebisha makosa upo.

Win, Draw or Loose, We are United.
Never say never, United We stand.

GGMU.
Asante mkuu kwa maneno mazur
 
Naskia hainaga ushemej...Tunakula........Naskia hainaga ushemej........Tunakulaga.....Zam ya nan leo...Zam ya Watford..Zam yetu itafka kesho uckonde baharia wnguMan cty kapita..Feyenood kapita.Watford kapta...
ahaaaa ahaaaaa ahaaaaa
 
Back
Top Bottom