Fellaini anaweza akawa anacheza vizuri BUT siyo aina ya Mchezaji mnayemuhitaji kwenye Kiungo, na ndiyo maana your midfield is still weak.
Pogba ni talented player (to be honest, though ni over-priced). Ujio wake ulikuwa hyped sana na medias (English medias), but i can admit kuwa jamaa anapata unfair treatment kwasasa, siyo kosa lake kucheza kwa kiwango cha chini, Pogba ni Retainer/Carrier, Pogba siyo Controller (siyo kabisa) ukitaka Pogba ashine mtafutie CONTROLLER na DESTROYER mzuri, wakat wa Conte alikuwa na 3 man midfield ya Vidal (destroyer), Pirlo (Controller) na Pogba (Carrier/retainer)..na hata baadae baada ya Vidal kuondoka then Pirlo kufatia, Pogba alibaki na Watu kama Khedira na Marchisio ambao walikuwa wanaplay the same roles kama za Vidal na Pirlo, Pogba akibakia kuwa kama CARRIER, katika ile ile 3-man midfield.
Kwenye Euro, Pogba alicheza chini ya kiwango kwasababu alikuwa anachezewa kama Controller, kitu ambacho sikudhania kama experienced coach kama JM atakirudia Utd..but inaonekana ndiyo anachokifanya sasa, Pogba hawezi kuthrive kwenye double Pivot, JM itabidi aachane na mfumo wa 4-2-3-1 kama anataka Pogba acheze mpira, Pivot ya Pogba-Fellaini will never work, Pogba ataendelea kucover Kms tu uwanjani bila kuwa na Impact, na kumchezesha katika hiyo double pivot ni kuua kipaji chake na kuicheleweshea Utd ushindi. Pogba ana Fellaini/Rooney kwenye kiungo, Fellaini is not good enough and Rooney is washed, (No disrespect to him). Its not too late lakini, January JM/united itabid warudi sokoni kutafuta CM, Nadhani William Carvalho atafaa sana kwenye 3-man midfield ambapo Pogba atacheza kama 3rd midfield (Retainer/carrier)..
For the meantime anaweza akamjaribu Carrick kama Controller (he's a good passer na Controller mzuri pia), but sidhan kama JM na baadhi ya Utd fans bado wanamuamini Carrick but ni good option (you may need him Vs Leicester)..double pivot of Pogba-Fellaini wont work against Leicester, unless Ibra/Rashford/Mata and Pogba himself, wa-step up. (OT ni advantage).
ROONEY, is on 300k p/w. Not that easy to drop him.