sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Hapa kichwa kinauma bila kulia.Pole sana usilie lakini ukaishia kuumwa kichwa.
Hapa kichwa kinauma bila kulia.Pole sana usilie lakini ukaishia kuumwa kichwa.
Mou ashukuru, afanye maombi kabisa. Mwanzoni mwa mchezo watford,timu mkia wa mbuzi walikosa mabao 2 ya wazi, moja lilikuwa la kugusa mpira tu kuelekea wavuni, "De gunia" alipotea mtaa hakuwa langoni. Hii mechi ililazimika kumaliza 5-1. Hili 1 la Man disunited lilipasa kuwa lile la Pogba alipojaribu kukopi na kupaste lile bao alilofunga Xhaka,"chaka" jana.Atamlaumu mwamuzi na baadhi ya wachezaji.
Mmmh kama ni hvyo uku Man Utd anashindwaje.Alizikuta hizo teams zimeshapikwa na waliomtangulia yeye akajizolea sifa za bureeeer
Nilimtoa thamani alipokuwa Madrid
MUDA SI MREFU WATFORD WATAELEWA KILICHOMTOA KANGA MANYOYA... ROONEY,IBRA, POGBA TO SCORE...
Watu wana MANENOOOOO...!!!Sina was was. . najua naenda kuchukua point zangu tatu , hawa watoto leo ni kuwapa mishindo ya pua tu
Tatizo Mou analazimisha timu iwe ya kiingereza kwa kuwaridhisha waingereza kumchezeaha Rooney, hiyo ni namba ya Pogba anayomlazimisha Rooney acheze, Rooney ni striker na bahati mbaya Ibracadabra is far better than Rooney, which means Rooney anatakiwa awe bench, hili ni tatizo mojawapo litaloingarimu Manu.
IlikuajeView attachment 402489leo man u tunafanya MASSACRE
Nnafahamu hilo ila Fellaini ana tatizo ka nidhamu.
Baada ya Juan Zuniga kufunga goli la pili akaenda kumkwatua.
Baadae amesababisha penalty.
Nimekuwa nikimwangalia Fellaini tangu akiwa Everton na hata timu ya nchi yake ya Belgium.
Mwaka 2014 Fellaini alitajwa kuwa ni mmoja wa worst signings of the season in England.
Fuatilia idadi ya kadi alizo nazo na namba ya suspensions ndiyo utaelewa.
Msimu wake wa kwanza England akichezea Everton Fellaini alipewa kadi mara 10 katika mechi 17 na ikabidi akutane na meneja wa waamuzi kuzungumzia hali hiyo na akaapa kujirekebisha ingawa baada ya mkutano huo alipewa kadi zingine 3 katika mechi 16 alizocheza hivyo kuonyesha improvement.
Yap alikuwa maeneo ya nje ya uwanja akiuwauzia mashabiki jezi!!! So ndo lengo mahsusi la kununuliwa kwake sheikh mmh(in kipoozeo voice)Have you seen Pogba?
Mkuu yan cna hamu hata kidogo hawa watoto wametu-massacre sisi. .. niacheni tu nisije nikaliaIlikuaje
Mkuu hawa madogo wamenipa mishindo ya macho mpaka nakuja shtuka jua limekuchwaaaaaWatu wana MANENOOOOO...!!!
Ahahahaaaaaaaah..!
Mtu hujiloga mwenyewe...na hivi sipo..pata picha mwenyewe.Hahahaaaa we ndiyo mchawi wetu.
Kama haupo ndiyo vizuri tunatengua fasta.Mtu hujiloga mwenyewe...na hivi sipo..pata picha mwenyewe.