Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahah Swahiba nashukuru kwa pole kwa kweli nimetulia sasa maana msiba ulikuwa mzito sana,haya nimepata maono eti Hilo jamvi leo tunalikalia kwako........ sasa nimeenda Mkulanga kuchukua kabisa Nazi ili tusikose angalau uji siku ya leo,tulie lakini uji uwepo

Swahiba sijakuona kwenye kipamara kule kwetu maana dakika ya 90 yule Pweza wetu tuliemnunua kwa £ 35M kanyoosha Tegeta na Mkuranga naamini yule muuza jezi wako mkimpunguzia jukumu la kuchuuza jezi ipo siku atajaribu kutukana tusi la leo BTW tumetoa huduma ya 4G kwa Hull City .
 
hongeren chief
 
Chief ni wewe au kuna mtu ame-hack akaunti yako hapa?
Asante sana ila kesho utanisamehe nimemtuma kijana wangu Ighalo kuna point 3 utampa ni muhimu mpwa atakuja mchana hapo kwako

united watazichukua kwa arsenal acha kesho wapewe wakina ighalo
 
Chief ni wewe au kuna mtu ame-hack akaunti yako hapa?
Asante sana ila kesho utanisamehe nimemtuma kijana wangu Ighalo kuna point 3 utampa ni muhimu mpwa atakuja mchana hapo kwako
tehee teheee ni mimi mpwa, hao akina ighalo saiz hawanipi shida mmeshachokoza sasa ni mwendo wa kichapo tu.
CskhwCkWAAAeNNo.jpg

mama yupo na vijana hataki mchezo safari hii
CskhsinW8AAHOAy.jpg

G.O.A.T Zlatan + our legend
CskhtwHWIAQzltk.jpg

Pogbooooom
Cskhu3dXgAASnub.jpg

Mr trophy machine
 
Swahiba sijakuona kwenye kipamara kule kwetu maana dakika ya 90 yule Pweza wetu tuliemnunua kwa £ 35M kanyoosha Tegeta na Mkuranga naamini yule muuza jezi wako mkimpunguzia jukumu la kuchuuza jezi ipo siku atajaribu kutukana tusi la leo BTW tumetoa huduma ya 4G kwa Hull City .
Hongera sana aiseee!!!! Halafu uko online now ndo uko nchi gani nije kucelebrate nawe.....
 
Sina was was. . najua naenda kuchukua point zangu tatu , hawa watoto leo ni kuwapa mishindo ya pua tu
 
Back
Top Bottom