Ndiyo nani huyo mkuu?Get that useless fat scouse cunt off.
Embu mchukueni mtu wenu jamani khaa,Ndiyo nani huyo mkuu?
Asante ndugu.Sawa sawa mkuu Mungu a kufanyie wepesi. ..
Asante mkuu ndiyo kazi yetu
Hamia wewe. acha sisi tubaki hapahapaHAMIENI TIMU ZA MAANA KAMA BARCELONA,ATLETICO MADRID, BERYAN, R.MADRID , MAN CITY NA JUVE
Heshima itawale bas, Mimi ni shabiki wakutupwa wa watfordTatizo jf siku hizi imeingiliwa na vitoto viropokaji na kupenda kuvamia. Dogo ukiona huna cha maana cha kuongea usiquote comment yangu, endelea tu kutoa maoni yako freely.
Heshima itawale bas, Mimi ni shabiki wakutupwa wa watford
we arsenane
Sielewi.Rooney si aombe atoke mwenyewe