And u will die kweliWw hama tu. . sisi tuache kama tulivyo. . kuna tofauti kati ya kuwa fan na kuwa die hard fan, mie ni die hard fan
Tofauti yangu mimi na wengine sizungumzii kishabiki nazungumzia ukweli. Kama umeangalia hii mechi utaona wazi jinsi refa anavyopata tabu. Sijasema anapendelea timu yoyote.![]()
![]()
Kwa hiyo post yako nimekuonea huruma. Yaani leo shabiki wa Man anamlaumu refa hata kabla ya break!!!
Hivi field Marshall Moorino akivurunda mtatoa wapi kocha???!!
Julio?![]()
![]()
![]()
I would rather die. ....And u will die kweli
Tatizo jf siku hizi imeingiliwa na vitoto viropokaji na kupenda kuvamia. Dogo ukiona huna cha maana cha kuongea usiquote comment yangu, endelea tu kutoa maoni yako freely.Basi chukua Filimbi wewe uwe refa
yaani nyie outsiders pigeni kelele ila mi sihami ng'oo manchester utd hii ni transtition period tu
shida yako?
Tangu Moyes. Kaja LvG. Sasa Mourinho.
Bado unasema ni transitional period.
Umenikumbusha binamu yangu miaka ile ya dhahabu. Siku Man anacheza anaandaa jezi yake mapemaa. Wakati ukiwadia anaelekea bar kucheki mechi huku akitabasamu.Tofauti yangu mimi na wengine sizungumzii kishabiki nazungumzia ukweli. Kama umeangalia hii mechi utaona wazi jinsi refa anavyopata tabu. Sijasema anapendelea timu yoyote.
As of Mourinho man utd ni timu inayotafuta makombe na pesa sasa wakiona kocha hafikii standard zao wanabadilisha haraka iwezekanavyo. Hii sio timu inayotafuta kucheza champions league,ni timu inayotaka kutwaa CL ndio maana pamoja na kufanya vibaya bado mapato kila mwaka yanaongezeka lakini man utd ni timu ya makombe kipato kinakuja baadae.
Ingekuwa tunajali kipato tusingebadili kocha hats tukifungwa kwasababu revenues bado zinakuwa pamoja na kutoshinda any major trophy in the last 3/4 years.
Nafikiri umenielewaa.
Pogba almanusra afunge...Mbona hakuna live commentary humu jukwaani? Wengine tupo mbali na 'visimbusi'!!