Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rooney inabidi apumzike sasa. Timu haiwezi kuwabeba Rooney na Ibra. Mbaya zaidi Rooney anacheza nafasi ambayo inabidi awe anakimbia sana.
 
Hii game ni ngumu kwa huyu refa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Kwa hiyo post yako nimekuonea huruma. Yaani leo shabiki wa Man anamlaumu refa hata kabla ya break!!!

Hivi field Marshall Moorino akivurunda mtatoa wapi kocha???!!

Julio?[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
14322596_1255032987912656_1916192686843533754_n.jpg
 
Msiwe wabishi hamieni Man City, au Arsenal... Ili muanze kuzoea soka safi......

Huku hakuna kubutua butua!
 
Back
Top Bottom