Nipo mkuu nilipata taarifa zako kumbe ndiyo umejipa hilo jina [emoji41]We jamaa upo?
Ulipata kutoka kwa nani? HahahaNipo mkuu nilipata taarifa zako kumbe ndiyo umejipa hilo jina [emoji41]
Kwa herrera .... ulivyoni-quote hapo ikabidi nikimbimbilie kule kwenye forum yenu kuhakikisha kama ni wewe [emoji41] ....Ulipata kutoka kwa nani? Hahaha
Hahaha sasa ni Bailly5 kutoka @Th NameKwa herrera .... ulivyoni-quote hapo ikabidi nikimbimbilie kule kwenye forum yenu kuhakikisha kama ni wewe [emoji41] ....
Umepotea sana naomba nikupe pole za nyuma kabla ya za leo
Hahaha sasa ni Bailly5 kutoka @Th Name
Asante ndugu yangu. Leo tunashinda aisee.
Maisha tu ndio maana tunapotea kidogo ila hongera kwa kunifungia Chelsea
Ziba pua, hahaaaUwiiiiiiiii... kimenukaaaa.
Kama yesu.Litarudi tu
Game bado sana