Kwa hiyo baada ya Loserfool kuwa wasindikizaji umehamia Man City siku hizi ?You sound like a typical Koppite I.e. Living in history
Ukitaka mambo Ya history then Loserfools ndio madume Ya mjini 5 times UEFA champion league winners Au Nottingham Forest and even Aston villa.
Live for the moment brother. Man City leo ndio kidume Na ndio habari Ya mujini
Fergie days are history
Kwa hiyo baada ya Loserfool kuwa wasindikizaji umehamia Man City siku hizi ?
Welcome to Manchester
I never expect anything positive comment from monkey united fansI never expect anything positive comment from Loserfool fans
Naelewa SAF alivyowaumiza
Kidogo sana.....yani kamoja tu.Unatumia eeh! Ilifaa tuwe wote.
Kwa kweli ndiyo mpira....ngoja tusubilie.Ndo mpira binti. Ligi bado mbichi sana.
Aiseee Hata Mimi niko very positive sijaumia Hata!!!!.....sema tu ile kibinadam ukifikiri sana ila moyoni am happy so kama mechi nyingine tukishindwa ninavyokuwa najiskia Vibaya sana.Pole mama. Ila cha ajabu sijaumia roho.
Nina wasiwasi kama wewe ni Kopite, Una sound kama mfuasi wa WengerI never expect anything positive comment from monkey united fans
Naelewa Pep alivyowaumiza [emoji41] [emoji41] [emoji12]
Nilitegemea mkishinda mtahamia humu Hongera Leo siku yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
heheheheheheh watabaki kulalamika tu hata nikijua Man U inashinda basi siweki inashinda wafungwe tu.Pazi siku hizi ana bet against Liverpool na Manchester United sababu ya Pep.
hehehehe kama tunavyofungwa mnavyokuja unaalikwa YNWA! karibu kule kwenye room usiogope kuja hatufukuzi mgeni tehteh!Nilitegemea mkishinda mtahamia humu Hongera Leo siku yenu
Ok ya shingo upande hiyo mbona haina nguvu? tehteh ndio ukubwa kaka lazima majukumu ukikuwa kuna majukumu kuna ku shave sasa mmenyolewa Its OK! tehteh!Disappointed with the result...but it is okay...
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] Leo siku yenu ongeeeeni yote pengine mnaweza kosa nafasi ya kuongea tena[emoji3]
Hata wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]View attachment 397797
Kupatwa kwa Jose Mourinho.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Asante dear[emoji41]
Sawa kaka ila umeamin sasaHii sio kauli ya shabiki na mpenzi wa manchester,
Moja ya kauli mbiu ya united ni NEVER GIVE UP na kua na spirit ya ushindi untill the last minute.