Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Future Impossible Tense....#FIT#
Lets wait,
Martial, Zlatan, Rooney na Rashford lazima wawafunge nyie.
Hamchomoki.
Future Impossible Tense....#FIT#
Lets wait,
HahahaMi mwenyewe nilikuwa najua anaenda kushangilia na wachezaji akiba kumbe anamtafuta smalling akamaloze kazi
Sawa..!!!Haijalishi wanakalishwa vizuri tu,last time ile na LVG tuliwakalishaga vizuri tu na ubovu wetu next wakadraw so hatuwaogopi... in MU we trust![]()
...... GGMU
Kwani city hapigiki nyingi?Bila shaka hiyo NEXT itakua na Man City...
Teh teh teh..!
Tumshukuru kwani katoa msaada? Si katimiza wajibu wake? Wee vp? Kazi kutuwangia tu huku, hamuendi kweny magroup yenuDadadadeki mlikaribia kylala na viatu. Mshukuru dogo rashid.
salama lakini,
Kaka jambazi......huyu jamaa ni nuksi kinaga yaan hafai utadhan hajatoka laliga
Akili nyingi sana huyu jamaa daaa + eric hawana presha kama wanacheza namba 10 kumbe nne na tano.
Mara ya mwisho kumpiga nyingi ilikua mwaka gani..!?Kwani city hapigiki nyingi?
Amina.......Nakuombea heri tu mama.
Tena uende UCL fainali kabisa.
Tutamiss sana mambo yake.
Hii man of the match uwa ina maanisha nini?
Mtu aliyetoa assistance (msaada) mkubwa kwenye timu kwa mechi hiyoHii man of the match uwa ina maanisha nini?