Kikubwa points 3 no matter what!!!!! Next naomba tutupie mabao mengi.
Kweli aisee.....siku mtashangaa nawatupia picha humu live kutoka old trafford........teh teh.Fanya 1000 kwa siku.
Kweli aisee.....siku mtashangaa nawatupia picha humu live kutoka old trafford........teh teh.
Future Impossible Tense....#FIT#Kwa jinsi tulivyocheza leo, Arsenal angekula si chini ya 3-0
Bila shaka hiyo NEXT itakua na Man City...Kikubwa points 3 no matter what!!!!! Next naomba tutupie mabao mengi.
Arsenal tumewahi wafungaFuture Impossible Tense....#FIT#
Lets wait,
Ahahaaaaaah..!Tunasubiri mechi za Chelsea, Arsenal, Man City na Tottenham tuamue ubingwa.
Future Impossible Tense....#FIT#
Lets wait,
Haijalishi wanakalishwa vizuri tu,last time ile na LVG tuliwakalishaga vizuri tu na ubovu wetu next wakadraw so hatuwaogopi... in MU we trustBila shaka hiyo NEXT itakua na Man City...
Teh teh teh..!
...... GGMUDadadadeki mlikaribia kylala na viatu. Mshukuru dogo rashid.Thanks God duhhh Hullcity walitaka kuharibu shughuli
Dadadadeki mlikaribia kylala na viatu. Mshukuru dogo rashid.
salama lakini,
, Salama my Kaka ,naona Klopp zimwi linazidi kumuandama hongereni kwa point moja so haba .![]()
![]()
![]()
, Salama my Kaka ,naona Klopp zimwi linazidi kumuandama hongereni kwa point moja so haba .
kiboko ya arsenaliArsenal tumewahi wafunga
6-1
8-2