Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaa
Yaan umefikria kama mimi vile
Mourinho kajitahidi kumtetea juzi kwenye Press akidhani leo atabadilika LAKINI wapi, ukimuangilia usoni utajua tu kuwa ANAFIKIRIA vitu vingine.

Hata akishika mpira ... Anajisahau kama yuko ground.

Na yule SAMANTHA anamchachafya kweli, hasa kuhusu mtoto.
 
Haters watakua wamekasirika kweli, walitamani iishie vile kesho waongee, dogo kawanyamazisha, thanks waza, thanks mpemba
 
14064086_10153998759372746_1457753429090241836_n.jpg
 
Napakumbuka sister. Nitakuja tena. Bado upo huko?
Ah kule palikuwa sababu ya shule .....shule imeisha nimerudi kijijini kwetu karibia na kwenu......nawe bado upo uku shamba.? Au wazee wa VAT walikuamisha mji?
 
Bi mkubwa hapa ataipatapata..!!

Napiga vinne leo ijapokuwa ninamazoea ya kupiga viwili..!! Zile Redbull bar, Ugwadu, plus Furaha ya ushindi vimeniongezea nguvu ya ziada...!!

Aisee ngoja niwahi bana, kesho wadau!!

BACK TANGANYIKA
Angalia nae awe kwenye mood....utaishia kwenye omo.
 
Back
Top Bottom