Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Kwann mkuu?Marcus Rashford anapokea £15,000
Wayne Rooney anapokea £300,000
Hii sio sawa kabisa.
Kwann mkuu?Marcus Rashford anapokea £15,000
Wayne Rooney anapokea £300,000
Hii sio sawa kabisa.
Martial ananipa wasiwasi pia hvyo aanzie bench.*MAMBO NILIYOJIFUNZA KUTOKANA NA MECHI YA JANA DHIDI YA HULL CITY*
1: ROONEY KWELI UZEE UNAMUITA.
Japokua nahodha wetu ana goli moja na assist mbili kibindoni ndani ya mechi 3 lakini nadiriki kusema kiwango chake kimeshuka kwa kiasi kikubwa sana, anashindwa kwenda na speed ya mchezo, anapoteza mipira kilaini sana na sometimes anatoa pass kwa wapinzani, kwa walioangalia mchezo wa jana naamini watakubaliana na mimi kwenye hili. he is a liability in the team and i think mikhitaryan deserves to start in his position. ila tunamshukuru sana tu kwa mchango wake katika goli la jana, it was a great play from him
2: MARTIAL ANANIPA WASIWASI.
Sote tunajua kipaji cha kijana wetu huyu lakini kwa kweli martial wa sasa kuna kitu kinamiss kwake, yawezekana ana matatizo binafsi yanayomuondolea/kumpunguzia concetration ya mchezo (kuna habari zimesambaa mitandaoni kua ana ugomvi na mwandani wake). martial anatakiwa atambue competition iliyopo katika timu na hasipokua makini atajikuta kwenye benchi na wenye njaa ya mafanikio watampokonya namba yake, naamini mourinho pia atakua kashaliona hili na atalifanyia kazi ili kumsaidia kijana kurudi katika makali yake.
3: ERIC BAILLY USAJILI BORA KABISA MPAKA SASA.
Kijana huyu kutoka ivory coast amekuja kutibu kabisa matatizo yetu ya defence, patnership yake na fundi/maestro dailly blind inaelekea kuzaa moja kati ya best defence in the world wakisaidiwa na beki zetu za pembeni valencia na shaw, so far so good they are doing the good job, i'm pretty sure wanaommiss chris smalling moja kati ya beki bora wa epl msimu uliopita ni wachache sana.
4: MIKHITARYAN & RASHFORD.
Hawa vijana wana pure talents na kwakweli sioni sababu ya wao kushindwa kuanza, maybe ngoja tumpe mou time maybe uko mbele mambo yatakua tofauti. lakini binafsi naona ni mara 100 tukaanza na hawa kuliko rooney na mata, nasema hivi kutokana na wepese na speed ya hawa vijana compared to rooney.
5: POGBA & BIG FELLA.
Mimi nimekua nikimponda sana fellaini kwa misimu iliyopita kutokana na uchezaji wake but am glad that he is proving me and others like me wrong, fella amebadilika kwa kiasi kikubwa sana na kwakweli anaitendea haki nafasi yake, patnership yake na pogba bado haijawa nzuri sana ila atleast sasa nina amani kwamba katikati tuna watu wa kazi, anachonikera fellaini ni speed yake ndogo uwanjani na uwezo wake mdogo wa kunyumbulika na kupiga forward passes but so far so good he is doing his best.
6: FEAR FACTOR IS BUILDING UP.
Nachelea kusema kua ile heshima tuliyokua tumeanza kuipoteza imeanza kurudi kwa speed, the team spirit is high and the supporters are anxious of seeing the team regaining it's title. kwakweli mou anastahili pongezi kwa maana ameibadilisha timu kwa kiasi kikubwa na kufanya usajili mzuri sana.
unaruhusiwa kuongezea maoni yako au kukosoa nilichokiandika kwa hoja.
Umemaliza mkuu.*MAMBO NILIYOJIFUNZA KUTOKANA NA MECHI YA JANA DHIDI YA HULL CITY*

Hio 300,000 Rooney kaipigania miaka na miaka...Rashford atafika hio 300,000 akifikia level ya utumishi ya Rooney.Marcus Rashford anapokea £15,000
Wayne Rooney anapokea £300,000
Hii sio sawa kabisa.
Fellaini amepewa kazi ya kuzuia na kukaba tu kazi ya kushambulia inafanywa na Rooney,Pogba,Mata na Martialaanze ANDER HELELA kiukweli FELLAIN ni mzito hajui kutoa pass za haraka kwenye kushambulia ila anajua kukaba tu
Kumbe mpila upo mdogo angu eeenhFellaini amepewa kazi ya kuzuia na kukaba tu kazi ya kushambulia inafanywa na Rooney,Pogba,Mata na Martial
Klabu ya mpira wa miguu ya Manchester United ni klabu ya mpira wa miguu ya Kiingereza ya mjini TRAFFORD, Greater Manchester.
View attachment 185858
Manchester United Team
View attachment 185859
Old Trafford
View attachment 185855 Manchester United Trophy Cabinet
View attachment 185856
Theatre of Dreams
Klabu ilianzishwa mwaka 1878 kama Newton Heath L & YR FC, na kucheza mechi yao ya kwanza ya ushindani Oktoba 1886, wakati ambao waliingia Duru ya Kwanza ya Kombe la FA 1886-87.
IMETWAA MAKOMBE YAFUATAYO:-
- Domestic
League
.Premier League (Level 1) - 13 Trophies
.1992, 1993, 1995, 1996, 1998, 1999&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];2000, 2000&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];01, 2002&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];03, 2006&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];07, 2007&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];08, 2008&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];09, 2010&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];11, 2012&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];13
.First Division (level 1) 7 Trophies
.Second Division (Level 2) 2 Trophies
- 1907&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];08, 1910&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];11, 1951&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];52, 1955&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];56, 1956&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];57, 1964&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];65, 1966&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];67
Cups
- 1935&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];36, 1974&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];75
- FA Cup: 11
- 1908&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];09, 1947&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];48, 1962&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];63, 1976&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];77, 1982&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];83, 1984&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];85, 1989&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];90, 1993&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];94, 1995&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];96, 1998&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];99, 2003&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];04: 2016
European
- League Cup: 4
- 1991&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];92, 2005&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];06, 2008&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];09, 2009&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];10
- FA Charity/Community Shield: 20 (16 outright, 4 shared)
- 1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965*, 1967*, 1977*, 1983, 1990*, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013 (* joint holders)
Worldwide
- European Cup / UEFA Champions League: 3
- 1967&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];68, 1998&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];99, 2007&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];08
- UEFA Cup Winners' Cup: 1
- 1990&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];91
- European Super Cup: 1
- 1991
- Intercontinental Cup: 1
- 1999
- FIFA Club World Cup: 1
- 2008
wakuu naomba kufahamu likizo ya David Degea inaisha lini?
![]()
Homa za deadline hzo, afu apo K. Navas ashakatiwa tiketi ya ndege aje Manchester huku machozi yanamtiririkaa aiseee...remmember this???
![]()
remmember this???
![]()
Homa za deadline hzo, afu apo K. Navas ashakatiwa tiketi ya ndege aje Manchester huku machozi yanamtiririkaa aiseee...
Noma man, nakumbuka hyo siku naenda kulala najua kabisa de gea ni mchezaji wa madrid, ile nashtuka night flani hivi kuja kuambiwa dili limebuma hahaaHapa hua nampongeza sana van gaal kwa hii dili ya de gea kwa kutuma document feki