Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1472364543188.jpg

On this day in 2011
 
Haijalishi wanakalishwa vizuri tu,last time ile na LVG tuliwakalishaga vizuri tu na ubovu wetu next wakadraw so hatuwaogopi... in MU we trust ...... GGMU
Naanza kuiona ile united ya SAF wakati wowote tunaweza kufunga na wafungaji ni wengi kutokana na tunavyo shambulia.
 
*MAMBO NILIYOJIFUNZA KUTOKANA NA MECHI YA JANA DHIDI YA HULL CITY*

1: ROONEY KWELI UZEE UNAMUITA.
Japokua nahodha wetu ana goli moja na assist mbili kibindoni ndani ya mechi 3 lakini nadiriki kusema kiwango chake kimeshuka kwa kiasi kikubwa sana, anashindwa kwenda na speed ya mchezo, anapoteza mipira kilaini sana na sometimes anatoa pass kwa wapinzani, kwa walioangalia mchezo wa jana naamini watakubaliana na mimi kwenye hili. he is a liability in the team and i think mikhitaryan deserves to start in his position. ila tunamshukuru sana tu kwa mchango wake katika goli la jana, it was a great play from him

2: MARTIAL ANANIPA WASIWASI.
Sote tunajua kipaji cha kijana wetu huyu lakini kwa kweli martial wa sasa kuna kitu kinamiss kwake, yawezekana ana matatizo binafsi yanayomuondolea/kumpunguzia concetration ya mchezo (kuna habari zimesambaa mitandaoni kua ana ugomvi na mwandani wake). martial anatakiwa atambue competition iliyopo katika timu na hasipokua makini atajikuta kwenye benchi na wenye njaa ya mafanikio watampokonya namba yake, naamini mourinho pia atakua kashaliona hili na atalifanyia kazi ili kumsaidia kijana kurudi katika makali yake.

3: ERIC BAILLY USAJILI BORA KABISA MPAKA SASA.
Kijana huyu kutoka ivory coast amekuja kutibu kabisa matatizo yetu ya defence, patnership yake na fundi/maestro dailly blind inaelekea kuzaa moja kati ya best defence in the world wakisaidiwa na beki zetu za pembeni valencia na shaw, so far so good they are doing the good job, i'm pretty sure wanaommiss chris smalling moja kati ya beki bora wa epl msimu uliopita ni wachache sana.

4: MIKHITARYAN & RASHFORD.
Hawa vijana wana pure talents na kwakweli sioni sababu ya wao kushindwa kuanza, maybe ngoja tumpe mou time maybe uko mbele mambo yatakua tofauti. lakini binafsi naona ni mara 100 tukaanza na hawa kuliko rooney na mata, nasema hivi kutokana na wepese na speed ya hawa vijana compared to rooney.

5: POGBA & BIG FELLA.
Mimi nimekua nikimponda sana fellaini kwa misimu iliyopita kutokana na uchezaji wake but am glad that he is proving me and others like me wrong, fella amebadilika kwa kiasi kikubwa sana na kwakweli anaitendea haki nafasi yake, patnership yake na pogba bado haijawa nzuri sana ila atleast sasa nina amani kwamba katikati tuna watu wa kazi, anachonikera fellaini ni speed yake ndogo uwanjani na uwezo wake mdogo wa kunyumbulika na kupiga forward passes but so far so good he is doing his best.

6: FEAR FACTOR IS BUILDING UP.
Nachelea kusema kua ile heshima tuliyokua tumeanza kuipoteza imeanza kurudi kwa speed, the team spirit is high and the supporters are anxious of seeing the team regaining it's title. kwakweli mou anastahili pongezi kwa maana ameibadilisha timu kwa kiasi kikubwa na kufanya usajili mzuri sana.

unaruhusiwa kuongezea maoni yako au kukosoa nilichokiandika kwa hoja.
 
Mi nashindwa kuamua kat ya blind na eric + pogba hawa jamaa walikuwa na madhara sana.
Siku hizi wanavyocheza Man United inakuwa ni ngumu sana kuchagua man of the match kila mechi wachezaji zaidi ya 4 wanakuwa wanastahili (Shaw,Baily,Fellaini,Rashford) wote walistahili
 
Uchambuzi wako upo sawa mkuu, ila kwa kuongezea ningependelea Rushford na Makytaryan wabaki kua super sub,
Rejea enzi za Sir Fergie, Tedy na solkjaur wote walkua ni bonge la sub
 
Rooney anamchango mkubwa sana pale man u japo mashabiki wengi wanataka acheze kama alivyocheza akiwa na miaka 22---28.. hali ni tofauti sasa ni sawa na alivyofanya ferguson kwa giggs..Umri wa giggs ulipozidi kwenda alimgeuza na kuwa kiungo wa kati..hivyo ile spid ya rocket aliyokuwa nayo giggs ya kuchambua mabek atakavyo ikawa imeisha lakin bado umuhim wake uwanjani ulionekana kupitia nafasi mpya aliyopangwa.. ni sawa kwa rooney pia.. wangap mnakumbuka goli alilofunga juan mata la kusawazisha katika mechi ya fainali FA CUP...kama sio uhodari wa captein na utulivu wake aliokuwa nao now lile goli lisingepatikana na man u ingemaliza msimu patupu.. ni kichekesho eti rooney awekwe benchi na rashford... mkhitaryan ni mzuri ila ni mzuri akitokea benchi.. maana kwa aina yampira anaocheza wa kupenda kupita katikati ya kijiji cha mabeki na viungo anatakiwa atokee benchi maana hii inaweza sababisha afanyiwe faulo kutokana na beki kuwa wamechoka.. lakini akianza kuna dalili ya kuchoka mapema na pia kuumizwa vibaya.
 
Mashabiki wa Arsenal wakianya maombi kwa ajili ya uhamisho wa Mustafi
CqXs1_1WIAADEfE.jpg
 
Hahahaha asante kwa kunisemea mkuu

Nadhan wamekuelewa
 
Scholes anasema martial na mata ni wachezaji wazuri ila kwake yeye rashford na miki wanastahili kuwa starters in place of those 2
 
Marcus Rashford anapokea £15,000
Wayne Rooney anapokea £300,000
Hii sio sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom