Huyo shabiki alipagawa sana kwa furaha.
Mie furaha yangu zaidi nikimfunga arsenal.Kabisa. Dua zangu tumpige Man City, tubebe point muhimu.
Mie furaha yangu zaidi nikimfunga arsenal.
Mungu anijalie siku moja niwe uwanjani...nikiangalia mechi ya Man U......Ningekuwa uwanjani ningepagawa zaidi yake.
Ikitokea hivi nitakuwa na furaha isiyo na kifani.Kwa jinsi tulivyocheza leo, Arsenal angekula si chini ya 3-0
Mungu anijalie siku moja niwe uwanjani...nikiangalia mechi ya Man U......
Ikitokea hivi nitakuwa na furaha isiyo na kifani.
Hapa nitengeneze kibubu....nianze kuweka sh mia mia .....mpaka kieleweke....Ukiwa na malengo utaenda.
Anza kujiandaa leo msimu wa 18/19 na wewe uwepo.
Hapa nitengeneze kibubu....nianze kuweka sh mia mia .....mpaka kieleweke....
Kikubwa points 3 no matter what!!!!! Next naomba tutupie mabao mengi.Mimi nilishakata tamaa kabisa.
Hawa hull city walipaki bus toka dakika ya kwanza.
Atleast tumepata point 3 muhimu.
Biashara asubuhi.