Na kinachowaumiza tumemsajili bure
Age is just numberZlatan itakua kadanganya umri huyu hana 30+.. itakua ana 25![]()
Nimependa jinsi alivyo na control, na nguvu pia!!! huyu jamaa ni asset!!!Daah Pogba anathibitisha uthamani wake
KadabraIbraaaaaa
Maurinho tactician mzuri, haya madume matatu - Ibra, Bailly, Pogba si mchezo.
Dah! Jamaa namkubali sana, kesho naenda kununua jezi ya PogbaNimemkubali Pogba anavyocheza kwa kujiamini,kweli amerudi nyumbani .
Rooney Leo anakimbia kila mahali ,workrate yake ndio itamfanya Mourinho aendelee kumpanga
Ukikaa kibanda cha mpira, kama una 35+ halafu unasikia jamaa wanasema, "Dah Rooney lishazeeka, Ibra na uzee huu anatupia tu"...unajihisi na wewe umekuwa mzee...Kadbraaaaaa
Dadeki, hili jitu limeshindikana sasa, hivi unamzuiaje huyu rafiki yake Nyavu????
Kweli uzee dawa, naona mzee anaendelea kuwaadabisha wenye midomo mirefu. hebu kujeni huku nyiee
BACK TANGANYIKA
ni kweli arifu rooney leo kaonyesha kiwango!!! nadhani morinnho kawaruhusu wachezaji wa mbele namba 10,9,7 na 11 kucheza free. ndio maana utamwona martial yuko namba saba mara rooney yuko namba 11....kitu ambacho van gal alikua hataki!!!!Nimemkubali Pogba anavyocheza kwa kujiamini,kweli amerudi nyumbani .
Rooney Leo anakimbia kila mahali ,workrate yake ndio itamfanya Mourinho aendelee kumpanga
Dah yaani hata mimi huyu jamaa alinikosha sana alivyokuja utd.Uyu jamaa uwa namkubali utadhani miaka yote alichezea united yaan
Na anavyotumia miguu yake 'kuficha' mpira!Nimependa jinsi alivyo na control, na nguvu pia!!! huyu jamaa ni asset!!!