Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Majirani leo huu mlango umekuwa wa Moto, Tena Moto wa Lava!!!
Nawataka wote waliokuwa wakidai Pogba hana thamani ya £89. Thamani na radha halisi ya Soka aka Football au Kabumbu kwa lugha ya kwetu inaonyeshwa hapa na huyu wana..!!
Kunajamaa alijiuzuru kushabikia Ars, Kafanya uamuzi mzuri, maana wenzake wanajing'oa nyongo. Sasa mlango uko wazi aja apate raha hapa OT
BACK TANGANYIKA
Wakaanga sumu utowaona uku tena.