brivigy
Member
- Aug 9, 2016
- 41
- 60
fenebanche..uturuki huko..Hivi van P yuko wapi siku hizi?....i mean yupo timu gani.
fenebanche..uturuki huko..Hivi van P yuko wapi siku hizi?....i mean yupo timu gani.
fundi wa sliding tacklingBeki mshahara huyo tumelamba dume.
Uyu jamaa uwa namkubali utadhani miaka yote alichezea united yaanView attachment 383963
On this day 2012, Robin Van Persie signed for Manchestet United and Arsenal Fans were mad about him.
Asante....fenebanche..uturuki huko..
Bora hata asingeondoka.Uyu jamaa uwa namkubali utadhani miaka yote alichezea united yaan
Yupo vizuri.fundi wa sliding tackling
yupo vizuri man of the match game mbili mfululizo naona ana mreplace de gea kwa kutaka kuwa mchezaji bora pale OT ##GGMUBeki mshahara huyo tumelamba dume.
Asante......fenerbahce ya uturuki,
naona hapa CR7 alikutana na kisiki
mtu kapotezwa kabisa" amebak kushika halafu unamsifia" hagover au?
![]()
hizi game walichezea zote! na huyo beki wenu akiwepo.
mtu kapotezwa kabisa" amebak kushika halafu unamsifia" hagover au?
![]()
hizi game walichezea zote! na huyo beki wenu akiwepo.