Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuseme kitu kuhusu Mata,

Mata ni kiungo mshambuliaji leo lakini kafichama sana, kiasi kazi inawawia ngumu Fela na Pogba, Nadhani Hererra anatakiwa kupiga jaramba

BACK TANGANYIKA
 
Morinho anatakiwa awemakini na Rooney..maana kiwango chake kinatia kichefuchefu
 
Kadbraaaaaa

Dadeki, hili jitu limeshindikana sasa, hivi unamzuiaje huyu rafiki yake Nyavu????

Kweli uzee dawa, naona mzee anaendelea kuwaadabisha wenye midomo mirefu. hebu kujeni huku nyiee

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom