Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Wamekaaa tena
umesahau kitu kimoja, anavyo gawa mipiraNa anavyotumia miguu yake 'kuficha' mpira!
Kama Octopus
Ahsanteeumesahau kitu kimoja, anavyo gawa mipira
Mpira dakika 90
Labda unaangalia mechi ya msimu. uliopitaSaints wamekosa chemistry tu game wangeshinda
Saints wamekosa chemistry tu game wangeshinda
uko sahihi mkuu....hasa kwenye kiungo na mbele...nimependa sana pogba anavyo miliki kiungo..anavyogawa mipira na jinsi alivyo stable na nguvu pia!!Chemistry ya kikosi imekaa vzr sana