Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,343
- 13,864
Mkuu kama una Mobdro ni Mu TVWakuu naomba link ya kuangalia huo mchezo plèeease maana nipo mbali na tv....![]()
Mkuu kama una Mobdro ni Mu TVWakuu naomba link ya kuangalia huo mchezo plèeease maana nipo mbali na tv....![]()
Mie nina imani......tutashinda
Mkuu ya kweli hii? Maana mwenyewe nahangaika kutafuta link hapaMkuu kama una Mobdro ni Mu TV
Naam ila naamin meneja ata taka sana kuanza na hii kituNi suala la muda tu dada angu, kuanzia kesho macho na masikio yetu yatakua carrington
Ahsante mkuu, heshima yako pia.
Tuna game leo ila siipi credit sana kama itakua upande wetu.
WE ARE UNITED
Mkuu kama una Mobdro ni Mu TV
Asante mkuuMUTV awaonyeshi,angalie BT sports
AaahHere we go
De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw,
Carrick, Fellaini, Lingard, Ibrahimovic, Rooney, Martial
Sijaielewa kabisa hii..Aaah
Naona timu ya LVG yoote imoo
Hiyo middle mmh! GgmuHere we go
De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw,
Carrick, Fellaini, Lingard, Ibrahimovic, Rooney, Martial
Hata lingard kweli?Hahaha
Hadi kaka fela
Ngoja tuone

HahahahaHata lingard kweli?![]()