Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

BE2986EC414442BDB767D21EC829DC35.ashx
 
Mara nyingi testimonial (kwa kumbukumbu yangu) unakuta mchezaji anakaribisha wachezaji aliwaowahi kucheza nao katika career yake na wale waliomvutia kimpira. Kama unakumbuka katika testimonial ya Paul Scholes alikaribisha wachezaji aliowahi kucheza nao na waliomvutia hata kama hawawahi kuchezea Man Utd. Nakumbuka Patrick Vieira na Brad Friedle(japo hawakuchezea Man Utd) walitinga uwanjani kucheza along side Paul Schole, Scholes aliwakaribisha. Halafu kuna wachezaji wengine huwa wanachezea timu mbili Mfano Rooney angechezea Man Utd first half afu second angechezea Everton. Nadhani Dennis Bergkamp alifanya hivi katika testimonial yake Arsenal vs Ajax (I could be wrong)
Hiyo hufanyika kwa Wachezaji ambao washastaafu.

Mfano Rooney angekuwa ndio mechi yake ya Kustaafu au alishastafu basi angechagua wachezaji anaowapenda yeye ambao mara nyingi huwa alicheza nao.

Mfano: Mechi ya Gary Neville ilihusisha hadi akina David Beckham kwani alishastaafu Man Utd katika ya Msimu wa 2011.
 
Hahhaaa na msisingizie wenger hajasajili msimu huu...,.....
Wenger banah ni lini ataacha kumsema Mourinho, anamponda Mourinho kwa usajili wa pogba kwa pesa anazotalajiwa kuletwa OT, kama yeye mchumi apite hivi,
 
Wenger banah ni lini ataacha kumsema Mourinho, anamponda Mourinho kwa usajili wa pogba kwa pesa anazotalajiwa kuletwa OT, kama yeye mchumi apite hivi,

As we speak Pogba ni mchezaji wa Juventus. Wenger alikuwa anamwongelea mchezaji wa Juventus sio Man utd.
 
As we speak Pogba ni mchezaji wa Juventus. Wenger alikuwa anamwongelea mchezaji wa Juventus sio Man utd.
centrocampista francese è arrivato nella città inglese in semi clandestinità: domani sosterrà le visite mediche con lo United. L'ufficialità nei prossimi giorni: 110 milioni alla Juve
 
centrocampista francese è arrivato nella città inglese in semi clandestinità: domani sosterrà le visite mediche con lo United. L'ufficialità nei prossimi giorni: 110 milioni alla Juve
Please tafsiri. Wengine hatujasoma, hatujui kiitaliano. No joking. Anyway, hadi waki-confirm ndipo tutajua kuwa ni mchezaji wa Man Utd ama sivyo itakuwa ni rumours.
 
Back
Top Bottom