Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

vipi mkuu ashatua pogba?

6621eb41a5c3cfad1875b39a82163949.jpg
 
Wewe nawe akili zako ni fupi hakuna mfano hata kusoma huwezi, nani aliosema pogba ni mchezaji wa Man U? shule zitusaidie banah sio kujaza madawati yalio pigiwa harambee na serikali, nimeandika hivi wenger amemkejeli mourihno kwa pesa anazotalajia kumsajili pogba sasa hujaelewa neno KUTALAJIA ubongo wako mweupe sana...

Lol hujaelewa au unajifanya hujaelewa. Kwanza Wenger hajamkejeli Mourinho kama unavyodai. Wenger aliongelea "PRICE" za kununua wachezaji in general zilivyokwenda juu au Crazy kama alivyosema kitu ambacho ni kweli. Nenda kasome article aliyoongelea hili. Acha kuhamaki kama vile umetukaniwa mzazi wako. Mchezaji kama Lukaku wanataka zitupwe £60-£70M kama sio uchizi ni nini? Michy Batshuayi amenunuliwa kwa £33M ambazo alinunuliwa Sanchez miaka 2/3 iliyopita kama sio ku-overprice ni nini? Na kuna mifano kibao sio Pogba tu ambaye price yake £100M+ ni kubwa wengi wanakubali. Unakimbilia kudandia media bandwagon ya Wenger vs Mourinho beef bila kufikiria hawa waandishi wanataka kuuza news.
 
Wakuu naomba muwe mnapost update za hii game inayoendelea.. Nipo safarini , nmejaribu kucheki kwa livestream ila mtandao ndo unakata kata... #GGMU
 
Back
Top Bottom