Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Khaswa wacha tuisubiri jioni kwa hamuAmen.....ndiyo tunaanza hivyo kukusanya makombe......
Khaswa wacha tuisubiri jioni kwa hamuAmen.....ndiyo tunaanza hivyo kukusanya makombe......
Wewe nawe akili zako ni fupi hakuna mfano hata kusoma huwezi, nani aliosema pogba ni mchezaji wa Man U? shule zitusaidie banah sio kujaza madawati yalio pigiwa harambee na serikali, nimeandika hivi wenger amemkejeli mourihno kwa pesa anazotalajia kumsajili pogba sasa hujaelewa neno KUTALAJIA ubongo wako mweupe sana...As we speak Pogba ni mchezaji wa Juventus. Wenger alikuwa anamwongelea mchezaji wa Juventus sio Man utd.
Leo unaangalizia wapi mpira ni ku-join wakwetuAmen.....ndiyo tunaanza hivyo kukusanya makombe......
Kabisa ....unatafuta sehemu nzuri unatulia na kinywaji chako pembeni.....na hivi kesho holiday ni full raha........Khaswa wacha tuisubiri jioni kwa hamu
Nitakuwa maeneo ya kwetu uku...mana dogo ananibana na sitaki kumtoroka leo.......Leo unaangalizia wapi mpira ni ku-join wakwetu
Sasa unanitamanisha halafu huniambii nije wapi ahhhh wakwetu vipi....Kabisa ....unatafuta sehemu nzuri unatulia na kinywaji chako pembeni.....na hivi kesho holiday ni full raha........
Nilitegemea ugeni wako leo wakwetu, nikaangize vipaja vya bata na popcorn ehhh tupate burudani tunavyo mpiga mtu tatu bila...Nitakuwa maeneo ya kwetu uku...mana dogo ananibana na sitaki kumtoroka leo.......
Unaweza kuwa mtabiri mzuri, na mimi nimepata maono game ni letu, trophy ni letu, tunampiga mtu goli 3.First trophy under Mou

Ah leo my son kanibana ......nampa haki yake......Nilitegemea ugeni wako leo wakwetu, nikaangize vipaja vya bata na popcorn ehhh tupate burudani tunavyo mpiga mtu tatu bila...
Limedhibitishwa hilo.......?Pogbooom, welcome back man
once a red always a red
Heshima yako mkuuPogbooom, welcome back man
once a red always a red
Saa 12 kamili jioni mkuugame Saa ngapi?
Ni suala la muda tu dada angu, kuanzia kesho macho na masikio yetu yatakua carringtonLimedhibitishwa hilo.......?
Ahsante mkuu, heshima yako pia.Heshima yako mkuu
Na abar ya cku nyingi!!?
Mie nina imani......tutashindaNi suala la muda tu dada angu, kuanzia kesho macho na masikio yetu yatakua carrington
Ahsante mkuu, heshima yako pia.
Tuna game leo ila siipi credit sana kama itakua upande wetu.
WE ARE UNITED