Kawimbo kana hamasisha hakoas the reds go marching on on on
huyo mtu leo anafanya kazi kushinda trekta .BAILLY.
Glory glory man United nadhani hapo ni sawa ahsante kwa kurekebisha.Mh hiki kiingereza cha mashabiki kibovu kama timu yenyewe...mkusanyiko wa stars wasio na cohesion!!!
Ndio namfuatilia hapa. Smalling anapotezwa taratibuhuyo mtu leo anafanya kazi kushinda trekta .
Mjiandae kwa doziMajirani kazeni sasa..
Shukran mambo magumu kweli kwetu.Poleni in advance...!
Vipi mkuu? Bado huna imani kama pogba anakuja?goooooooal
Vipi jirani? Naona pep anatengeneza mbele tu anasahau backline yenu kuwa mbovuMajirani kazeni sasa..