Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Tuombe aje mimi sina tatizo.... hakukosa sababu ya kiwango Balo ni superHuyo Balo amekosa Euro sababu hana kiwango. Pogba kafanya kazi kubwa Euro
Tuombe aje mimi sina tatizo.... hakukosa sababu ya kiwango Balo ni superHuyo Balo amekosa Euro sababu hana kiwango. Pogba kafanya kazi kubwa Euro
Hahahhahha utapofukaaaaa na masikio yataziba![]()
![]()
....
Nyagema Balloteli mmemuharibia future Yake kabisa siyo fresh.....tena Wewe nitaenda kule kwenu nifukunyue post zako ulizokuwa unamponda![]()
haya....
jezi zilizouza sana ni Messi, CR7 na MartialMost shirts sold in 2015-16:
Manchester United - 2,850,000.
Barcelona - 2,290,000.
Real Madrid - 1,980,000.
Chelsea - 1,650,000.
Bayern Munich - 1,500,000.
Bora umejiwahi first lady hata mimi nilianza kujiuliza
Bora huyu kuna mrembo mwingine wa kuitwa cute b yeye kuonekana mpaka kwa microscope.Vipi kwemaa???
Ukiamua kupotea huwa unapotea jumla, welcome back
Tatizo hela ya kumnunua hawana.Hao ni wivu tu unawasumbua.....wanamtamani angetua kwenye timu yao.
Atakuja tu. Ila huyo Balo kurudisha kiwango labda acheze kule championship ya England hahahahTuombe aje mimi sina tatizo.... hakukosa sababu ya kiwango Balo ni super
Watuache wenye hela zetu tufanye yetu......Tatizo hela ya kumnunua hawana.
Atakuja tu. Ila huyo Balo kurudisha kiwango labda acheze kule championship ya England hahahah
hii dharau kabisasaa 9 kamiliMechi yetu leo inaanza muda gani ?.
Hela inaongea acha itumike. Nyie nyie mnanunua wachezaji wa mafungu. Kama balotelli matip hahahahah![]()
![]()
hii dharau kabisa
Nyie mnaleta Eric na mzee Ibra teeehe .... game yenu na BVB saa ngapiHela inaongea acha itumike. Nyie nyie mnanunua wachezaji wa mafungu. Kama balotelli matip hahahahah

Yule beki mliyemsajili mbona mzee ana miaka 30.Nyie mnaleta Eric na mzee Ibra teeehe .... game yenu na BVB saa ngapi![]()
Uzee kuanzia 34 yule bado kabisa ....Yule beki mliyemsajili mbona mzee ana miaka 30.
Now, inaelekea halftime
