Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Teeehe teeeehe ila habari ya BVB ni nomaYule mzee tu. Mimi nawait ligi ya EPL
Teeehe teeeehe ila habari ya BVB ni nomaYule mzee tu. Mimi nawait ligi ya EPL
Samahani haya mashindano uwa yanakombe mwisho wa siku?
Okay....nadhani kwa mechi zijazo.......tutafanya vizuri....ndio huwa kuna vikombe nafikir mwaka jana fainali manchester utd alipigwa na psg na ndo game aliyopoteza.
Okay....nadhani kwa mechi zijazo.......tutafanya vizuri....
itakuwa vizur mana hata man akishuka bado atakuta hamna hata timu iliyofikisha makombe 20 ya epl mpinzan liverpool ashajitoa ana aleji nalo.msiposhushwa daraja na huyo saa mbovu wenu...........
Hilo daraja labda la kigamboni...msiposhushwa daraja na huyo saa mbovu wenu...........
Hahaaaaa.....Hilo daraja labda la kigamboni...
Utkuja kusutwa umbea mwingine haufaiPiga mbwaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu unatumia kinywaj gan manake umeandika mpaka nimeskia rahaMimi kwangu matokeo haya ndiyo ninayataka sio pre season friend matches zote mshinde tu, matokeo yanatia moyo kwa kuwa mapungufu yanaonekana mapema na isitoshe kushinda sana game za kirafiki inatufanya kuona timu imekamilika kumbe sivyo, nina imani na mzee special one he always come up with new strategies, ninategemea mengi mazuri.
Jipe moyovan gaal na moyes walikung'uta madrid na barcelona na cha kuvutia zaid van gaal ktk game kumi za kupasha misuli alipoteza moja 2liporud ktk ligi kila siku presha mou huwaga hafany vizur ktk haya mashindano.
Hata squad utakayochezesha isiwe ya kimashindano. Mpe nafasi kila mmoja ashiriki.Msipanick ni mechi ya majaribio. Mtabeba nafasi ya CL baada ya msimu huu. Ukweli pre-season hutakiwi uonekane mzuri kuliko inavyotarajiwa. You have to leave a room for improvement.
Utkuja kusutwa umbea mwingine haufai
bas sawa wachumba wa Dortmund. Mnafungwa had na mchezaj anayeitwa Tembele Daaah kweli man u ya Cantona haiwez kujirudia. Yani Tembele ndio anawasumbua
je angeitwa Cabbage si mngeondoka na goli 8
Kweli kila chenye mwanzo lazma kiwe mwisho

mkishashuka ndio mtajua ni la kigamboni au la manzese .............Hilo daraja labda la kigamboni...