Ukute huyo mtu hajawahi hata kununua jezi original toka Man Utd. Ukiangalia ule umri na potential yake ile hela inarudi ndani ya muda mfupi sana.
Ronaldo alivunja rekodi ya usajili, kila mtu alisema ni hela nyingi lakini sasa Madrid wamerudisha hela yao na faida juu. Tulimchukua DiMaria kwa pesa ndefu kila mtu alisema hivyo, hatukufilisika na faida tukatengeneza.
Na wasijue Utd ni timu kubwa sana duniani hiyo hela ni kama Mengi anaenda kununua gari yard.
Pia, mauzo ya tshirt msimu uliopita tuliongoza pamoja na kuwa na magarasa na kuwa nje ya top 4. Sasa mwaka huu tuna Zlatan, Makhtaryan, Rooney, Martial nk si tutawafunika?
Hela sio nyingi hiyo.